Club Zinaongoza Kwa Kutoa wachezaji Bora Waliochukua Ballon D'or.

Kuna watu wameanza kushabikia soka jana Christiano Ronaldo tuzo yake ya kwanza aliichukulia akiwa Man U 2008
 
Nadhani Real Madrid Na Barcelona zitakuwa Na wachezaji wachache waliotwaa hiyo tuzo maana zimechukuliwa mara nyingi Ila Na mtu mmoja Barca Messi
Madrid CR7 labda timu za Italy huko ndo zaweza ongoza kutoa wachezaji wengi
 
manichester haijawahi kutoa mchezaji wa kuchukua hiyo tuzo labda kama unahesabia tuzo anazochukua Chirstian Ronaldo akiwa Real Madrid
Kijana vipi tena..?

Mbona vitu vingine vipo wazi kama vazi la kahaba.

Sasa hapa sidhani kama ulitazama hata final match ya 2007-08 Uefa champions league...AU kaka katika ubora wake wa hali ya Juu akiwa Ac milan.

Ronaldo kachukua mwaka 2008 akiwa katika kiwango bora kabisa vyenga,speed udambu-udambu na kama huku mtazama kipindi hiki(2007-2008-2009) nakupa pole..huyu ndiye alikuwa Ronaldo saizi kawa fillipo umri umemutupa.
 
The Boss;
Hiyo source inamapungufu sana mbona haijamtaja Maradona?
 
Pana haja ya kupandisha kiwango cha mashabiki wetu kabla ya kupandisha kiwango cha soka letu mambo mengine yapo wazi tu.
 
Hii balon dor imekuja kuchanganya watu baada ya kuunganishwa na tuzo ya fifa world player of the year.. Ndo maana nlishtuka kuona man u wachezaji wanne, hii ni tuzo ya ulaya.. Kubwa ni fifa world player of the year ambyo ni ya dunia.. Huko ndo unawakuta magwiji kama figo zizou de lima maradona cruyf rivaldo hamna vitoto vya malkia kama owen huko na hao magalasa wa man u zaid ya cr7...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom