Club ya As Roma imepiga marufuku kwa wachezaji wake kupiga picha na msanii wa kufoka foka 'Drake'

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,641
Club hicho kinachoshiriki ligu ya seria A ya italy kimefikia hatua hiyo kutokana na matokea mabovu yanazozipata club pindi wapigapo picha na msanii huyo

Inaripotiwa baada ya mchezaji wa dortumund kupiga picha na drake, walicharazwa mabao matano kwa nunge na dortimund

Aguero baada ya kupiga picha na drake, man city walikiona cha mtema kuni kutoka kwa totenham

Pia abameyung wa arsenal baada ya kupiga picha na drake walitandikwa vikali na evarton

Club hicho kimependekeza wasubiri mwisho wa musimu wanaweza kuruhusiwa

Picha za matukio
IMG_20190416_163851.JPG
IMG_20190416_163803.JPG


Tushukuru drake hajaja huku kwetu tanzania hawa kina ajibu na kina kindoki wangepiga picha na drake wangeacha kabisa mpira
 
Back
Top Bottom