Emc2 JF-Expert Member Sep 26, 2011 16,808 16,834 May 21, 2014 #1 Wadau wa kujirusha nataka kujua Club nzuri ya kula bata hapa dar. 1. Maisha Club 2. BillCana Club 3. Club 71 4. Coco Beach 5. Runway Au zipi? Nipeni mtonyo
Wadau wa kujirusha nataka kujua Club nzuri ya kula bata hapa dar. 1. Maisha Club 2. BillCana Club 3. Club 71 4. Coco Beach 5. Runway Au zipi? Nipeni mtonyo
RICARDO KAKA JF-Expert Member May 26, 2012 865 337 May 21, 2014 #3 dah! aisee unaacha kuulizia makanisa unaulizia Club nzuri! hebu fikiria leo MUNGU, kakufanya kipofu ghafla au kiziwi, au umepata ajali ukavunjika miguu yote, au akaufanya uwe khanithi! aiseee!
dah! aisee unaacha kuulizia makanisa unaulizia Club nzuri! hebu fikiria leo MUNGU, kakufanya kipofu ghafla au kiziwi, au umepata ajali ukavunjika miguu yote, au akaufanya uwe khanithi! aiseee!
Riwa Platinum Member Oct 11, 2007 2,607 3,068 May 21, 2014 #4 Game of throne said: onetash Click to expand... Ni Wantanshi...
Game of throne Member Mar 6, 2014 86 12 May 21, 2014 #5 Riwa said: Ni Wantanshi... Click to expand... Noted!!
Game of throne Member Mar 6, 2014 86 12 May 21, 2014 #6 Riwa said: Ni Wantanshi... Click to expand... watz wengi hawana kazi ya kufanya...
Daata JF-Expert Member Dec 24, 2012 4,639 1,794 May 21, 2014 #7 Mnazikataa hizi starehe kinywani lakini mnaulizana wenyewe mnajaa huko....
matumbo JF-Expert Member Jul 9, 2011 7,225 3,944 May 22, 2014 #8 Riwa said: Ni Wantanshi... Click to expand... Wantashi ni club?
RRONDO JF-Expert Member Jan 3, 2010 51,719 107,833 May 22, 2014 #9 Annael said: Wadau wa kujirusha nataka kujua Club nzuri ya kula bata hapa dar. 1. Maisha Club 2. BillCana Club 3. Club 71 4. Coco Beach 5. Runway Au zipi? Nipeni mtonyo Click to expand... club 327, club house, club rouge
Annael said: Wadau wa kujirusha nataka kujua Club nzuri ya kula bata hapa dar. 1. Maisha Club 2. BillCana Club 3. Club 71 4. Coco Beach 5. Runway Au zipi? Nipeni mtonyo Click to expand... club 327, club house, club rouge
T The Gentleman Pirate JF-Expert Member Dec 11, 2012 1,436 900 May 24, 2014 #10 house,,savanna,,club 71
F fisi 2 JF-Expert Member Nov 2, 2010 3,273 4,626 May 24, 2014 #12 Club ya azam,Ashanti , villa squad, na ukienda sinza Abajalo au mnyama mkubwa. Short mind.:boink: