Club Bora na zuri dar

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,834
Wadau wa kujirusha nataka kujua Club nzuri ya kula bata hapa dar.
1. Maisha Club
2. BillCana Club
3. Club 71
4. Coco Beach
5. Runway

Au zipi?
Nipeni mtonyo
 
dah! aisee unaacha kuulizia makanisa unaulizia Club nzuri! hebu fikiria leo MUNGU, kakufanya kipofu ghafla au kiziwi, au umepata ajali ukavunjika miguu yote, au akaufanya uwe khanithi! aiseee!
 
Mnazikataa hizi starehe kinywani lakini mnaulizana wenyewe mnajaa huko....
 
Wadau wa kujirusha nataka kujua Club nzuri ya kula bata hapa dar.
1. Maisha Club
2. BillCana Club
3. Club 71
4. Coco Beach
5. Runway

Au zipi?
Nipeni mtonyo

club 327, club house, club rouge
 
Club ya azam,Ashanti , villa squad, na ukienda sinza Abajalo au mnyama mkubwa. Short mind.:boink:
 
Back
Top Bottom