CloudsTV kulikoni

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
1,407
159
Jamani mimi ni mpenzi wa burudani na ni mpenzi sana kutizama TV,
ni mwezi kama na nusu hivi nilimsikia Mkurungezi wa cloudsFM akitutangazia wasikilizaji wa radio hiyo ujio wa CloudsTV na akatuambia tarehe 3 Dec ingekuwa hewani nimejaribu kui-search wenye Tv yangu bila mafanikio yoyote.kama kuna mtu yuko karibu na hawa watu atujulishe kulikoni na hiyo TV.
 
Kwanza ilitakiwa iwe hewani siku wanahama nic kwenda mjengoni....1June...au 1July 09
 
Nadhani watakuwa na tatizo hawa jamaa sio bure, au kuna mkono wa kifisadi unajaribu kuwazuia hawa vijana wa mjengoni wasiruke hewani?
 
Jamani mimi ni mpenzi wa burudani na ni mpenzi sana kutizama TV,
ni mwezi kama na nusu hivi nilimsikia Mkurungezi wa cloudsFM akitutangazia wasikilizaji wa radio hiyo ujio wa CloudsTV na akatuambia tarehe 3 Dec ingekuwa hewani nimejaribu kui-search wenye Tv yangu bila mafanikio yoyote.kama kuna mtu yuko karibu na hawa watu atujulishe kulikoni na hiyo TV.

Tatizo lililopo huenda ni la Kisheria na Taratibu.

TCRA hawawezi tena kutoa leseni ya Analogue TV kwa Players wapya. Ni digital tu.

Sasa upatikanaji wa masafa ya Digital yanategemea yale makampuni matatu yaliyopata Multiplexer Digital Broadcasting License ambao ni:

1. Basic Transmition Ltd (Muungano wa ITV na Star TV)
2. Agape Associates Limited (Agape TV na Wadau wake)
3. Star Media Limited (TBC + Wachina)

Mara masafa yao yakiwa tayari huenda Clouds Wakanunua services za digital transmission kutoka makampuni hayo.
 
Kwa habari nilizo zipata sasa hivi kutoka kwa mfanyakazi mmoja wakituo hicho ameniambia kuwa iko hewani tokea tar 23/12...sijui inapatikana kwa watu wa mjengoni tu maana sijasikia mtu kama inapatikana huku uswahilini kwangu.
 
Wadau, inapatikana sema ina potea potea n inafyatuaga music tu full tym....
 
Iko hewani tangu Desemba 2009, kama alivyosema mdau hapo juu huwa wanapiga muziki tu, na katika skrini kwa chini pale sehemu yanapopita maandishi kuna maneno ya "Test Signal". Kumbuka kwamba hawajaweka logo yao katika Tv, ndio sababu inawachanganya sana wadau. Hope mambo yatakuwa hewani soon.
 
Ah kumbe hii ndo clouds Tv. Tena kwa chini kona kushoto kuna vimaandish vinazunguka 'HAPPY NEW YEAR 2010'.

Mi nlikua nkijiuliza Tv station gani hii?! Maana inakung'uta muziki 24/7 non stop!
Okkk! Well done clouds!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom