Clouds yatoa ufafanuzi malipo ya TSh milioni 629 yaliyotajwa na CAG

Unapokula kichwa mradi wa umeme kutoka bwawa la Nyerere ambao umefikia 50% itabidi watuambie umeme tutatoa wapi?.

Unapokula kichwa serikali kuhamia Dodoma na kusema ni hasara itabidi wajieleze.

Unapokula kichwa reli ya kisasa ambayo inakaribia Makutupora itabidi wajieleze kwa watanzania hiyo Tanzania ya viwanda itawexekana vipi.

Unapokula kichwa ujenzi wa meli mpya kwenye maziwa makuu itabidi watueleze watatusafirisha na nini?


Wanapokula kichwa ndege zetu itabidi tuwawekee video za kina Heche ,Lema,Lisu wakitukana serikali iliyoshindwa kununua ndege

Watakaposema wachimbaji wadogo, bodaboda na mama ntilie wafukuzwe itabidi watueleze wanafanya haya kwa faida ya nani?

Watakapoamua zahanati na hospitali zote zilizojengwa na Magufuli zifungwe ,itabidi watueleze tutaenda kutibiwa wapi?

Watakaposema wamefuta elimu bure itabidi watueleze kodi zetu zinafanya kazi gani?

Watakaposema lazima watanzania millioni 60 wachanjwe, itabidi watueleze wao mpaka sasa
hawajachanjwa
Nyungu hawajapiga,
Hawajajifungia ndani wanaenda kazini kila siku
Mbona hawajafa na corona sasa??

*Watakaohoji haya maelezo siyo Magufuli wala watoto wa Magufuli ni watanzania.

Anayedhani itakuwa rahisi kuuwa legacy ya Magufuli atakutana na nguvu ya uma.
*
Muda utaongea .

kwanza nakupongeza sana na mungu akupe afya na akili ya kutambua hayo ukweli watanzania hawajiongezi hivi kila alichofanya makufuli hakifai kina hasara nani yupo nyuma ya hii skendo ya kumchafua hayati makufuli kaaeni mtafakari kabla laaana ya mungu haijashuka
 
Ifahamike kuwa ripot ya CAG inakuwa ni uhalisia wa kila jambo. Wakaguzi hawaondoki sehemu pasipo kupata maridhiano ya pande zote mbili kukubali.

Mfano mimi nimenunua kitu cha laki 3 na sina risiti. Mkaguzi akija kuuliza risit ipo wapi, nikamwambia sina au nikatoa ambayo ni nje ya utaratibu. Basi mkaguzi yeye ataandika ule uhalisia.

Ndo maana huwezi ukakuta mabenki, taasisi, vyama n.k vinapinga uhalisia wa ripoti ya mkaguzi.

Ifamike pia, kabla CAG hajasoma hizo hesabu zake, mashirika kama ATCL, TPA wanajua kabisa ni madudu gani katika mashirika yatakwenda kuwekwa wazi. Wanajua kabisa kuanzia sehemu ya kwanza mpaka ya mwisho.

Ni aibu kubwa kwa taifa kumjibu CAG kienyeji enyeji tu.
Hakuna aibu hapo. CAG naye anababaisha
 
Ndiyo maana China wanafanyaga yao.. hawanaga discussion na mwizi, mla rushwa na wengine wa kufafana na hao... ALIYEHUSIKA NA UWANJA WA KWA MKAPA, KESHATANGULIZWA MAANA HAUKUTAKIWA KUWA VILE ULIVYO, ULIKUWA DESIGNED UWE ZAIDI YA VILE... alioshirikiana nao huku kwetu wanapeta, ukute hata kaburi la mwenzao hawajui lilipo..!!
Haha mkuu kumbe alikula chuma!! Mi mwenyewe nlikua sijui
 
Back
Top Bottom