padlock
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 328
- 496
KILLING MONOPOLISM OF A CERTAIN TANZANIA RADIO STATION WITH USE OF THE OTHER RADIO STATION IT IS GIVING BIRTH OF THE NEW MONOPOLISM OF THE NEW RADIO, THE ONLY WAY TO COME UP IS BY CONSESUS AGREEMENT IN A COMPETITIVE WAY (Kuua radio moja ya kibeberu ya kitanzania kwa kutumia radio ama media nyingine ya kitanzania ni kutengeneza ama kuumba radio nyingine ya kibeberu, njia pekee ya kutatua jambo ama kuokoa jahazi hili ni kufikia makubaliano ya kibiashara ktk kufanya biashara ya utangazaji kwa kupeana nafasi za kawaida za kiushindani, The grass are only living things get hurt on horse race🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼.Miongoni mwa upcoming starz wanaofanya poa kwenye gemu la mziki wa bongofleva in msanii 'Hanstone'. Kijana anafanya poa sana kama walivyo kina Marioo, Mbosso Khan, Whozu na wengine kama buku ila huyu kijana wee weka mbali na watoto.
Kijana huyo jina lake ni Hassan Ramadhani Masanja mtoto wa aliyekuwa gwiji wa mziki wa kitanzania marehemu Banza Stone aliyetamba kwa vigoma kama Elimu ya mjinga, Supu ya kuku wa kienyeji na mtaji wa maskini anasema atamkumbuka baba yake sana kwani alikuwa mstari wa nyuma kwenye mziki licha ya kumshauri aachane na mziki ajikite kwenye Elimu
IPO HIVI, baada ya mzazi wake kutangulia mbele za haki, kijana huyo mwenye umri wa miaka 19 aliamua kumuenzi kupitia mziki na alianza kuonekana kupitia kibao cha iokote alichoshirikishwa na msanii Maua Sama.
Hata mtoto mdogo anaweza kukuambia Hanstone in nani kupitia ngoma hiyo. Baadae kijana Hugo aliamua kutoa ngoma yake mwenyewe 'acha lipite' akaja na 'i miss you mama' ngoma bora kuwahi kutokra kwenye historia ya bongo fleva.
Radio Mawingu waliweza kumpa support ya kufa raia hadi akatamba bongo mwishoni mwa mwaka jana na mwaka huu mwanzoni 2018/2019 lakini saivi mambo yanaanza kwenda kombo.
WCB WAHUSIKAAA.
Inasemekana kwamba miongoni mwa sababu kuu za kuzimwa na radio Mawingu basi Wasafi media inahusika kutokana na uhasama uliopo haina ya Mawingu na WCB.
Baada ya Hanstone kuonekana pamoja na CEO wa WCB Diamond platnumz na baadhi ya mamaeneja wake ikadaiwa kwamba msanii Huyo anaweza akasajiliwa na Wasafi hivyo Mawingu wakaanza kumuweka kando.
CHIBONGE YAHUSIKAA
Baada ya kijana Hugo kutoa kollabo Kali pamoja na Marioo ya Chibonge basi clouds wakakataa kuipa promo hapo nyimbo yenyewe kwa kuwa ni kali ikajipa promo yenyewe.
Ili kumzima Hanstone, Mawingu walikuja na mpango wa remix ambayo ilishirikisha Marioo, Abbah na G. Nako ambayobimepewa nafasi za juu sana kwenye chart yao ya top 20 lakini kiuharisia ngoma hiyo haijaifikia ile ya awali hata nusu.
Wale wanaojua kusoma nyakati naamini mtanielewa, kwa leo niishie hapoView attachment 1156556