Clouds wamenifurahisha sana na hii kauli mbiu

kinundu

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
2,029
2,129
uzalendo ni kupeana deal

Kwangu naona clouds hapa wamepata akili na wamejua nini wananchi tunataka na wamedadavua maana harisi ya uzalendo..

Huwezi kua mzalendo huku ukiwa umekumbatia fursa na kufurahi na kufurahi mwenzio anavyo taabika...anapata shida huku ukiwa na uwezo wa kumsaidia..

Mara nyingi nimeona humu mtu ukimpinga mkulu unaonekana sio mzalendo.. Kumbe ni uzalendo wenyewe kupinga watu kulala nje kwa kubomolewa nyumba zao bila fidia , kupinga watu kukosa ajira na mikopo n.k

Nimegundua mkulu sio mzalendo maana hatupi Deal yupo kukomoa raia wake... Kua mzalendo mkulu... uzalendo ni kupeana Deal

 
vyuma vimekaza hivyo efm vs clouds

simba na kivuli.jpg
 
Na wewe usiku huu umekula nini?
Utakuwa mmoja wa wavivu na wapenda vya dezo wewe haswa kuyaandika hayo ulivyotaka..
 
Back
Top Bottom