CLOUDS UPERUZI WA MANAGAZETI... KUNA NAMNA MNAIJENGA na RA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CLOUDS UPERUZI WA MANAGAZETI... KUNA NAMNA MNAIJENGA na RA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TIMING, Feb 24, 2011.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wakuu..

  mimi ni msikilizaji mzuris ana wa kipindi cha PJ cha kuperuzi na kudadisi cha clouds kila siku asubuhi

  NIme-note kwamba hawa jamaa ni lazma waanze na managazeti ya rostam aziz.... lazima wataanza na mtanzania, au RAI

  please stop that its not good kwani kitabia binadamu hukumbuka zaidi kile alichokumbana nacho wakati anaamka, iwe muziki, habari au hata commercial

  naombeni mbadilike, we dont want that evil influence everywhere
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Hawasomi Mwanahalisi wala Raia Mwema.
  Kwenye Tz Daima kama kuna kigongo kimeandikwa kuhusu mIjizi ya Chama Cha Maulaji hawaisome wa&$ge sana wale
   
 3. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kaka unaongea nini sasa hapo? Wewe unatakiwa usikilize kipindi chote na sio sehemu kidogo, hivyo wakianza na lolote ni sawa tu. Labda ungesema kuna habari wanaziruka kwenye magazeti mengine ambazo ni za muhimu hapo utaeleweka. Si watetei ila kwa hilo umewaonea, wanaweza kuwa na weakness nyingine lakini hapo ulikuwa bado hujajipanga.

  pole
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  @Mess...

  kuna psychology inasema the first thing you hear in the morning kinakaa zaidi kichwani, just know kwamba mafisadi wameadvance mno kuliko unavyoweza kufikiria
   
 5. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  sasa wewe ndo umeongea issue ya kujadili hapa, ila mimi sitajadili zaidi nitashauri tu maana muda wangu umeisha hapa, toka kina masoud watoke hapo na akina fina sisi tulishaacha kusikiliza redio ya CCM hiyo. Msikilize magazeti toka 98.0 saa mbili asubuhi, 98.6 saa 12:30asubuhi, na kwa haraka toka 89.5 saa moja na dakika 17 asubuhi.

  Karibuni.
   
 6. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mafisadi kaka pamoja na kuadvance ni kuwapita na judo tu, umesikia ya mwanza lakini? bado siku chache tunaingia magogoni ya hao wanaojikomba tutawapata tu na kuunguza vijiofisi vyao.
   
 7. n

  nndondo JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Agreed hakuna mtu wa maana kama wewe anayeweza kusikiliza huo uchafu, wamekwisha hebu wahame
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  sidhani kama hiyo ni habari ya kweli....mbona mara nyingi hanza na gazeti la Mwananchi??halafu kikubwa zaidi kila gazet linalofika pale studio kipindi cha PB wanalisoma,ni tofauti sana na TBC kufichaficha baadhi ya habari za maagazeti flani...!!sijui wanaficha kwa faida ya nani???sipati jibu
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  MTM.....!
  nadhani unawaonea tu hao jamaa

  hakuna siku inapita hawajaperuz sauti ya watu-tanzania daima!....

  hakuna siku inapita hawajaperuz majira.......

  lakini kama vile haitoshi hawa jamaa wanajitahidi sana kuwatofautisha waandishi ''wapewa bahasha'' na waandishi ''wa ukweli''
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  @Teamo ni kweli wanasoma yote... issue ni kwamba wanaanza na gazeti gani mazee

  Mie ni sukununu na hupenda details, jaribu kuchunguza uone... sijasema hawasomi mengine, nasema wanaanza na ya RA. Kuna psychology ndogo kwa binadamu, we stick the first thing on our minds longer
   
 11. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  MTM
  kwa comment zako bora ungemwambia PJ awe anaanza gazeti gani unalolipenda na kwa sababu zipi. Otherwise sijaona point yako katika hilo
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  @Mr. Mak... read my signature

  I provoked this na nimegundua watu namnotisi vitu vidogo lakini very tactical ... taratibu tutafika na najua ujumbe umefika

  Au unayo namba ya PJ nimtafute?
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mnawaonea bwana....!
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yah tunawaonea... thats how our minds are na ndio maana tumesahau hata shida zetu
   
 15. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Soma hija yake vizuri ....
   
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  of all magazetiz....

  kwa sasa magazeti makini kabisa kwa front page news ni mtanzania,rai,uhuru na tanzania daima....

  hebu muwekeni huyo rostamu pembeni halafu yalinganisheni hayo magazeti........!
   
 17. s

  shosti JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh humu kila siku clouds clouds kwani mmelazimishwa kusikiliza,dunia huru hii jamani hupendi papai kula ndizi sio kulitia kasoro papai:hand:
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hao walalamikaji ndo wasikilizaji wakubwa wa power_breakfast
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Siamini..
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  He is a hypocrite... We know it long ago, fuatilia threads za kibonde na clouds
   
Loading...