Clouds TV mnakwama wapi?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,271
2,401
Kiukweli mnakwama. Tv yenu mbona haina ubora wa sauti kama Tv zingine? Si Dstv si Star Times. Mna mbwembwe nyingi ila hapo mmekwama. Fanyieni kazi hapo.

Picha inaweza kuwa mbaya lakini hakuna kitu kibaya kama audio kuwa mbovu. Mna audio mbovu. Very low. Fanyieni kazi as soon as possible
 
Kusema kweli Clouds Tv imewashinda. Hawapo systematic au professional. Vipindi vingi havina flow nzuri vipo all over the place. Hapa madirector na maproducer wameshindwa kazi. Kingine watangazaji wao wengi ni wa hovyo hawana upeo wa kuongoza kipindi vizuri kiwe na mvuto (Salama Jabir yupo vizuri kwenye hili).

Quality ya picha na sauti ndo kabisaaa. Na kujidai kote huko hamna kitu. Niwashauri tu watafute professionals haswa walio wabunifu na sio wababaishaji kwasababu tv siyo redio ambayo utabwabwaja siku nzima na bado ukaweza kufuraisha watu.
 
Umenena mkuu. Wanaichukulia tv kama redio. Kuna wakati niliona picha ina quality mbaya sana, kupitia Dstv. Sasa natazamia Star tv angalau kwa video wameboresha. Bado audio pamoja na vipindi vyao
 
Kama DStv clouds TV plus mbona in quality nzuri na kwenye Azam clouds TV ipo good Sanaa labda hiyo startimes au TV yako mbovu
 
Wanasemaga wao wanaajiri talent na sio shule.....🤣🤣
 
Star tv hapana kwa kweli. Yaani picha zao utafikiri ninaangalia kwenye CRT tv wakati natumia Samsung full hd. Wajirekebishe.
 
Wanasemaga wao wanaajiri talent na sio shule.....🤣🤣
😂😂 talent ya wapi? Wanafikiri tv ni redio wakibwabwaja siku nzima tayari?

Ohoo luninga inahitaji umakini wa hali ya juu. Sio vitangazaji vyao vya tv uchwara ambao wanajiona wapo juu kumbe hamna kitu.

Kuna mmoja kwenye kipindi gani sijui alikuwa anaongea maneno mengi yasiyo na kichwa wala miguu eti kizazi cha barakoa😂😂.
In short clouds kwenye tv wamefeli. Na siyo leo wala jana tangia 2010 litv lao la hovyo.

Nashangaa wamekimbilia kuanzisha clouds+ eti watu walipie wakati hiyo moja tu ilishawashinda.
 
Kama DStv clouds TV plus mbona in quality nzuri na kwenye Azam clouds TV ipo good Sanaa labda hiyo startimes au TV yako mbovu
Unajua quality nzuri kweli? Yaani kwenye picha clouds haina tofauti na Tbc1 tena muda mwingine bora hata Tbc.
 
Waboreshe pia mwonekano kwa kubadili watangazaji katika Vipindi vya Habari na Michezo ili kupata radha tofauti tofauti, waendelee kukaza wanaweza!
 
talent ya wapi? Wanafikiri tv ni redio wakibwabwaja siku nzima tayari? Ohoo luninga inahitaji umakini wa hali ya juu. Sio vitangazaji vyao vya tv uchwara ambao wanajiona wapo juu kumbe hamna kitu..
Hiyo clouds plus huwa ina nini cha ziada ?
 
Back
Top Bottom