Ajabu kabisa.....kama wanahudumiwa basi wizara itakuwa inawatengea bajeti? Kutoka waumini wanaolipa kodi? Aisee!Ya kulaumiwa ni serikali yenyewe..Inakuaje waanzishe kitengo maalumu Muhimbili cha kuwahudumia hawa viumbe?? Kwa maana hiyo serikali yenyewe imevunja sheria. Huwezi kusema unazuia ushoga huku una kitengo kama hicho kinachowapatia mashoga KY,condom na vilainishi vingine. Hii inamaanisha nini???
Pope Francis: Christians should apologize to gay people and ask for forgivenessTcra wamejipambanua kama taasisi iliyojitoa muhanga kulinda Maadili ya taifa,hasa katika tukio la arusha ambapo mh rais alitukanwa.
Taifa lina maadili,moja kati ya Maadili ni kupinga ushoga.
Tumeona kwenye kesi ya arusha ya kumtukana mh rais waliwapeleka mpaka wanasheria wao haraka ili mtuhumiwa afikishwe mahakamani.
Hili la kurusha kipindi wakimhoji mtu ambaye anafanya Mapenzi kinyume na maumbile mbona hatuoni kasi yao?
Mods huu Uzi msiuchanganye na nyingine
Sheria inasema kufanya Mapenzi kinyume na maumbile ni kosa la jinai,
Pia sheria za utangazaji haziruhusu kurusha matangazo hayo kwa muda huo na hairuhusu kuyarusha matangazo ya mtu anayejisifu kuvunja sheria
Tcra mko wapi?au clouds walipopigiwa ile simu ndio mmeogopa ?