Clouds TV, hamuoni habari za mikoa mingine?

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,143
15,130
Naangalia news ya saa tano hawa majamaa wamefunika. Nchi hii ilivyo kubwa wao wanaona Dar tu! Maana hakuna habari hata moja ya nje ya Dar. Wao na ziara ya Dar mpya tu na Makonda. Aisee yaani mikoa yote ya Tz haina habari kabisa? Kweli ITV ni Super Brand.
 
Naangalia news ya saa tano hawa majamaa wamefunika...nchi hii ilivyokubwa wao wanaona Dar tu maana hakuna habari hata moja ya nje ya Dar... Wao na ziara ya dar mpya tu na makonda aisee yaani mikoa yote ya Tz haina habari kabisa? Kweli ITV ni Super Brand
Naomba kujua jinsia yako mkuu, maana huo msemo .....'uwiiii' sijui kama ni sahihi ww kuutumia.
 
Sio lazima tv zote zifanane.kama unaona eatv ni nzuri zaidi si ubaki hukohuko?.mo clouds ndo kipenzi changu sema tu wapunguze matangazo kidogo
 
Naangalia news ya saa tano hawa majamaa wamefunika. Nchi hii ilivyo kubwa wao wanaona Dar tu! Maana hakuna habari hata moja ya nje ya Dar. Wao na ziara ya Dar mpya tu na Makonda. Aisee yaani mikoa yote ya Tz haina habari kabisa? Kweli ITV ni Super Brand.
Wanacheza na shina ambalo ndio linatoa mizizi matawi na maua
 
Back
Top Bottom