Clouds TV Hamjui Kurusha Live

Donkey

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
1,431
1,448
Naangalia sherehe za Uhuru kupitia Clouds TV nashindwa kuelewa jinsi mnavyo rusha matanganzo toka uwanja wa Jamhuri Dodoma.je hamna wapiga picha wenye uwezo wa kurusha tukio halisi kwa wakati badala ya kuganda sehemu moja
 
Wakiganda sehemu moja muda mrefu we hamisha chanel.Hiyo ndo dawa kuliko kulalamika hapa.
 
Naangalia sherehe za Uhuru kupitia Clouds TV nashindwa kuelewa jinsi mnavyo rusha matanganzo toka uwanja wa Jamhuri Dodoma.je hamna wapiga picha wenye uwezo wa kurusha tukio halisi kwa wakati badala ya kuganda sehemu moja
Angalia AZAM TWO kama wanarusha..sidhani kuna tv kwa sasa ipo safi km hiyo
 
Back
Top Bottom