Clouds TV asubuhi

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Mbona kipindi chenu cha asubuhi kinakuwa kama kijiwe cha wahuni wa mitaani. Tunategemea mfanye philosophical analysis. Kinachofanyika ni kusoma watu wanachoweza kujisomea na kusinfikiza na porojo za mitaani. Anyway labda audience mnayoilenga ni ya hivyo. Ok, i stand to be corrected
 
Pole betri zimeisha au remot mbovu????
 
Mbona kipindi chenu cha asubuhi kinakuwa kama kijiwe cha wahuni wa mitaani. Tunategemea mfanye philosophical analysis. Kinachofanyika ni kusoma watu wanachoweza kujisomea na kusinfikiza na porojo za mitaani. Anyway labda audience mnayoilenga ni ya hivyo. Ok, i stand to be corrected

Nadhani Ungeanza Kwanza Wewe Kama Wewe Kujifanyia Hiyo " Philosophical Analysis " Ya Ubongo Wako Kisha Ndipo Uende Kwa Clouds Tv. Wewe Unajua MAUDHUI Ya Hicho Kipindi? Halafu Kusema Kuwa Labda Wanatulenga Jamii Ya " Hivyo Hivyo " Ni Kututukana KIREJAREJA Na Nadhani Kabla AKILI Zetu Hazijaanza KUCHANGANYIKIWA Siku Ya Leo Ungetuomba RADHI Haraka Na Upesi Sana. Kwani UMELAZIMISHWA Utizame Clouds Tv?
 
Gentamycine huwa nakuwazia kama mtu wa busara kumbe na wewe ni wa hovyo. Nakuona unaandika sana nikidhani ni msomi uliyeelimika. Gentamycine uiswe mtu wa mitaani nadhani wewe ni msomi. Kidogo JF ni forum ya kisomi kwa kiasi fulani. Soma nilichoandika, ukitafakari.
 
Nadhani Ungeanza Kwanza Wewe Kama Wewe Kujifanyia Hiyo " Philosophical Analysis " Ya Ubongo Wako Kisha Ndipo Uende Kwa Clouds Tv. Wewe Unajua MAUDHUI Ya Hicho Kipindi? Halafu Kusema Kuwa Labda Wanatulenga Jamii Ya " Hivyo Hivyo " Ni Kututukana KIREJAREJA Na Nadhani Kabla AKILI Zetu Hazijaanza KUCHANGANYIKIWA Siku Ya Leo Ungetuomba RADHI Haraka Na Upesi Sana. Kwani UMELAZIMISHWA Utizame Clouds Tv?
Wewe ni miongoni mwa simbilisi wa taifa hili katika ubora uliotukuka. Clouds TV ni bolshit, hawa jamaa wanasafari ndeeeeefu katika swala la TV in fact ni zaidi ya porojo na ni kweli kuwa target audience yao ni wahuni kama wao. They either change and learn from other reputable media or keep doing nonsense. Hata Dstv nao wajinga flani hata kuingiza huo upuuzi kwenye bouquet yao.
 
huyu atakuwa anatokea clouds kila uzi unao husu clouds huwa anapinga na kutukana sana kwa wale wanaoiponda clouds nakupongeza sna kwa kuisimamia kidete kampuni hiyo kaza buti mzee
 
Wewe ni miongoni mwa simbilisi wa taifa hili katika ubora uliotukuka. Clouds TV ni bolshit, hawa jamaa wanasafari ndeeeeefu katika swala la TV in fact ni zaidi ya porojo na ni kweli kuwa target audience yao ni wahuni kama wao. They either change and learn from other reputable media or keep doing nonsense. Hata Dstv nao wajinga flani hata kuingiza huo upuuzi kwenye bouquet yao.
Asante nashukuru watu wenye hekima kama wewe mnayaona wanayofanya Clouds, wabadilishe mtndo wa hicho kipindi cha asubuhi, it is nonsense to some extent!
 
Kaka/Dada mbona povu jingi! Muajiriwa nini? Rekebisheni tu, hizi criticism zote zinalenga katika kuboresha media yenu. DON'T TAKE IT TOO PERSONAL

Sina HADHI Ya KUAJIRIWA Na CLOUDS MEDIA GROUP Bali Napenda Tu KUWAPENI ELIMU HASA YA MASS MEDIA AND JOURNALISM Watu WAPUUZI Kama Nyie MSIOJUA DHANA NZIMA YA VIPINDI, MAUDHUI NA UTANGAZAJI. Kuniambia Mimi Nafanya Kazi Clouds Media Group Ni Sawa Na Kusema Lionel Messi Anachezea Ndanda FC. Acha KUNIDHALILISHA KWA HADHI KUBWA YA KUTUKUKA NILIYONAYO Na Tena IKIBIDI Niombe Radhi Nisije " Nikakuchenjia " Na Wewe Vile Vile.
 
Wewe ni miongoni mwa simbilisi wa taifa hili katika ubora uliotukuka. Clouds TV ni bolshit, hawa jamaa wanasafari ndeeeeefu katika swala la TV in fact ni zaidi ya porojo na ni kweli kuwa target audience yao ni wahuni kama wao. They either change and learn from other reputable media or keep doing nonsense. Hata Dstv nao wajinga flani hata kuingiza huo upuuzi kwenye bouquet yao.
Exactly nakuunga mkono mkuu Clouds TV na hata Clouds FM hawa jamaa ni zaidi ya utumbo vipindi vyao vingi ni uhuni mtupu! Japo vipo baadhi vizuri mi nadhani hawa jamaa wanaajiri baadhi ya watu wasio na taaruma ya utangazaji..!
 
Nadhani Ungeanza Kwanza Wewe Kama Wewe Kujifanyia Hiyo " Philosophical Analysis " Ya Ubongo Wako Kisha Ndipo Uende Kwa Clouds Tv. Wewe Unajua MAUDHUI Ya Hicho Kipindi? Halafu Kusema Kuwa Labda Wanatulenga Jamii Ya " Hivyo Hivyo " Ni Kututukana KIREJAREJA Na Nadhani Kabla AKILI Zetu Hazijaanza KUCHANGANYIKIWA Siku Ya Leo Ungetuomba RADHI Haraka Na Upesi Sana. Kwani UMELAZIMISHWA Utizame Clouds Tv?

WAHUNI WAKUBWA NYIE
 
nilishangaa walivyokuwa wanatetea wauguzi waliosimamishwa temeke lazima wapewe ahsante kwani pale wanafanya kazi bure si wanalipwa mishahara hawa wanaongozwa zaidi na hisia zao binafsi kuliko ukweli
 
Anayebonyeza hiyo channel huku akitegemea broadcasting ya viwango huyo ndiye mkorofi namba moja.

Ile tv ni majanga hata sauti tu imewashinda, kuna kipindi nimekiona last week nilikuwa bar, presenter mmojawapo kavaa soksi kichwani kama gaidi
 
Back
Top Bottom