nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 997
- 828
Kuna tangazo mnalolirusha mara kwa mara, katika tangazo hilo inasikika sauti inayoisifia utendajikazi redio yenu, binafsi hata mimi ni msikilizaji wa redio yenu.
Ila kwenye hilo tangazo inatamkwa Cloud, badala ya Clouds. Ingawa sio mtaalamu wa lugha nionavyo kuna tofauti ya Cloud na Clouds.
Ikumbukwe kuna wafanyakazi walipoteza ajira kwa makosa waliyoyaona kwao madogo lakini walivyohakiki vyeti, tofauti hizo zikawatoa kwenye ajira, mfano kwenye cheti linasomeka Kasimu, Vincent, Omari na kwenye nyaraka za ajira inasomeka Kassim, Vicent, Omary.