Clouds Radio na KIPINDI CHA JAHAZI KINAZIDI KUBOMOKA

Mi kwa upande wangu, vipindi vyote vya clouds venye kuhusu masuala yanayoingiliana na siasa...vyote nimeacha kuvisikiliza..
kuanzia power breakfast mpaka hiyo jahazi..hawa jamaa wamekuwa puppets/ma-ajenti wa chama twawala tu..hawana jipya..
vicheko vyao na hadithi zao ni za kinafiki tu...
 
jaman,mjue mung'unya likiaribikia ukutani hugeuka kibuyuj,kaz ya kibonde ni u-mc na c uprezenta,namchukia tangu nasoma udsm,alipokua akikebeh migomo ya vyuo vikuu mwaka 2009 wakat yeye kumbe hajui nini 2nachodai,FEDHULI YULE
 
Jamani kweli kabisa hawa watu hawana kitu ni wababaishaji si wataalamu, na uhakika si muda mrefu kibonde na Regina watakuwa hawapo kwenye kipindi, naomba sugu uanze na kibonde kwani alikoponda sana kwenye malaria no more
 
Jina lake tosha linadhihirisha ni KIBONDE KWELI so haina aja ya kumjadili tuangalie ishu zingine zinazosumbua taifa kwa sasa Dowans na ARUSHA.
 
Why you still tuning and listening to those fools,that station meant for kids and teenagers not adults and great thinkers like you pal
Ndugu wana JF, Kipindi cha Jahazi hivi karibuni tangu uchaguzi uanze kimekuwa kisiasa sana maana hakuna maada, hakuna wadau kupiga simu, hawana maada za maana kama radio zingine kama Radio One, TBC FM, EA radio na capital radio wao ni kupinga na kupinga.
Nanukuu: Kupinga kuwa mtatiro asiseme kuhusu katiba?? na kumponda hii ni akili kweli??
Pili Kusema katiba mpya wananchi hawahitaji kwa sasa, ya nini ili hali ile ya kale hawaijui?? Hii ni kero na kama kweli wana dhamira nzuri ruhusu watu wapige simu then mchambue kama RFA na Star TV wanavyofanya.


Mimi binafsi sikifurahi tena kipindi cha clouds - JAHAZI
NAPENDA sports extra kwa sasa.

Wadau manasemaje hapo??
 
Ndugu wana JF, Kipindi cha Jahazi hivi karibuni tangu uchaguzi uanze kimekuwa kisiasa sana maana hakuna maada, hakuna wadau kupiga simu, hawana maada za maana kama radio zingine kama Radio One, TBC FM, EA radio na capital radio wao ni kupinga na kupinga.
Nanukuu: Kupinga kuwa mtatiro asiseme kuhusu katiba?? na kumponda hii ni akili kweli??
Pili Kusema katiba mpya wananchi hawahitaji kwa sasa, ya nini ili hali ile ya kale hawaijui?? Hii ni kero na kama kweli wana dhamira nzuri ruhusu watu wapige simu then mchambue kama RFA na Star TV wanavyofanya.


Mimi binafsi sikifurahi tena kipindi cha clouds - JAHAZI
NAPENDA sports extra kwa sasa.

Wadau manasemaje hapo??

achana na hao...

kama uko kwenye kigari chako mkuu..tafuta CD yako ya mzee Bob taratibu na ....:music:........imancipate yourself from mental slavery...none but ourselves can free our minds....redemption song...song of freedom
 
"Kibonde tunaelewa unavyosambaza ngoma mtaani.."anti-virus.,even thou ua underpaid there at clouds isiwe sababu ya kutetea ungese wa ccm n serikali
 
Toka mtu mzima alipokimbia hiyo radio especially kipindi hiki nilijua lazima kutakuwa na tatizo.... sasa kila kitu kishajulikana!!:rain:
 
hii redio mbao mbona mimi sisikilizi hata siku moja.... kuna habari zaidi ya celebrities ..., weekend bashes..., summer time..., bonanza..., promosheni na ujinga wa jahazi

hivi mtu huoni aibu kusema hadhari eti unasikiliza clouds?
 
Hiyo ni redio ya watoto wa mafisadi waliofeli shule,msihangaike nao mnapoteza nguvu zenu,jadilini mambo ya muhimu.
 
Hiyo ni policy ya Clouds limited kwani wanalipa fadhila ya kupewa tenda kifisadi ya Malaria Haikubaliki kwa Primetime Promotion ambayo ni kampuni yao tanzu.Dili hilo awali lilikuwa la Mr E yaani Mh.Mbilinyi wa mbeya.
Mmesahau wao walimwamdalia mkwere birthday party mwaka 2010 kulipa fadhila hizo pia?
 
Amount ya pesa anazopata mtu sio kigezo cha kwamba anafanya kazi yake vizuri na inayosaidia jamii Money is not Everything Kuna Porn Artists wanapata pesa nyingi sana its not necessary kwamba kazi wanayofanya inajenga Jamii.....

Absolutely, the end does not justify the means.
 
Huyo Regina Mwalekwa ameishia darasa la saba mabibo primary,alikuwa anakaa makuburi na bibi yake kwa hiyo asiwatishe,tuna data zake kibao jina lake la shule ni Regina Nazareti abishe aone
 
wewe acha upupu, unadhani regina mwelekwa ni mwehu wa kukubali kulipwa 150000 wakati kazi anazofanya zinaingiza mara kumi ya hiyo kwa mwezi, kwa taarifa yako professional ya mtu haifi kihivyo. na radio one wameondoka wengi na waliobaki wote ni form four leaver waliopata mafunzo ya blabla, wewe kama hupendi kipindi cha Jahazi, mimi napenda kwa hiyo kuniambia hakipendwi hiyo ni promo kwa radio yako

Unamaanisha hela ndio zinaelekeza mtu awe mpumbavu au mwerevu, kwamba kashapata mgao wake wa Dowans sasa kawehuka!?
 
Clounds wameongeza mpumbavu mwingine! huyu Regina ni mjinga kama kibonde! wanashindwa kusoma arama za nyakati na kujua watanzania wanataka nini? Hawa maBwege Kibonde na Regina wanataka kumwagiwa tindikali na wanaharakati?
 
Yaan kibonde anachanganya siasa za majitaka na jahazi...mimi nilikua mpenzi wa jahazi lakini baada ya kibonde kupewa bakuli la ubwabwa na kanga kutoka kwenye chama cha wachakachuaji fast akakichakachua kipindi cha jahazi leo hii anajifanya kukemea mafisa!!!!
 
ni bora ingeitwa radio ya mafisadi fm stereo,,,,, aheri umsikilize sebo magic fm..
 
Ndu yangu kibonde acha tamaa umri wako sio wakudanganywa na kanga na kibakuli cha ubwabwa vikakufanya uchakachue jahazi hivi wewe kibundi kwanini una changanya siasa za maji taka na kipind cha jahazi kwa kupewa kanga... Hizo kanga utazivaa mpaka lini?....nakibakuli cha ubwabwa du!!
 
Back
Top Bottom