Clouds radio mnajipendekeza kwa mama, huo ni uchawa

smarte_r

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
4,513
11,848
Mimi sio msikilizaji wala shabiki wa clouds radio.

Jana nikiwa salon nanyoa wahusika wa ile salon walikuwa wame tune clouds radio.

Nikasikia tangazo likirudiwa mara kwa mara lenye kauli mbiu na vibwagizo vya kumsifia Mama Samia.

Nikajua tu hapa tayari clouds wanatengeneza mazingira ya uchawa kwa mama ili siku za usoni apate kuwaamini na awe anawatumia kama platform yake.

Waliwahi kufanya hivi enzi za utawala wa JK na miaka mitatu ya mwanzo ya utawala wa mwendazake, mpaka siku za kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa akawa anapiga simu live kuimbiwa wimbo wa happy birthday.

Nawasihi clouds media, shindaneni na washindani wenu wa kibiashara fairly kwenye ground.

Tabia ya kujipendekeza na kutafuta uchawa kwa wakuu wa nchi haitakuja kufanya muonewe huruma kwenye makandokando yenu.

Ombi langu kwa Mama samia, treat vyombo vyote vya habari kiusawa na upuuze hii strategy ya clouds radio yenye lengo la kujipendekeza kwako ili wao watimize agenda zao za kibiashara.
 
Bi mkubwa sio wa sampuli hizo.
Hahitaji kabisa chawa kwa sababu anatumia system kuongoza sio propaganda ambazo zingemlazimisha kuamini katka media kama yule kobe mwendazake
Tengua Kauli,"Kobe mwendazake"ndo Nani huyo ??.
 
Sio hao tuu wako wengi safarii hii wewe sikiliza matamshi tu .
Kigwa.
Sad
Clou
Ngai
Yaani hawa wote ni mwanzo tu wengne wanakuja tu utawasikia
 
Back
Top Bottom