CLOUDS PLUS SASA NDANI YA DSTV

Oyaaa majomba mwera hao

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
290
424
Husika na kichwa cha habari hapo juu.Chaneli hiyo inapatikana kuanzia kifurushi cha bomba 19,000 tu.
DSTV inogile
70153011_3277314628960255_1854028547211919360_n.jpeg
 
Ni Channel ya hovyo hujawahi kuona, wanarudia rudia mavipindi, content zao ni za hovyo.
.
Wana Siri ya mtungi wanalirudia rudia, wana mavipindi ya zamanii ya hovyo yale waliyokuwa wanatafuta watangazaji wanayarudia rudia hayana hata sauti 😂😂😂
.
Yaaani eti mtu ulipie kutazama hiyo channel ni kheri ukaangalia katuni
 
Aiseeee kumbe ndiyo iko hivyo?
 
Ivi Wasafi Tv wanakwama wapi kufanya jitihada channel iwe hewani Azam
Nahisi hivi vituo vimeambiwa vitoe kiasi fulani cha pesa ili vituo vyao Azam waanze kuvionyesha hela nyingi zimewaponyoka ujue.
.
Lakini itabidi utambue Wasafi Tv ni pay tv mzee wangu wanaweza wakairudisha alafu isionyeshe mpaka uilipie kama TVE tu
 
Mamamae lichaneli la hovyo TBC inisamehe, nimesoma jana humu nikaenda mbio mbio kujionea.... picha mbovu kuumizana macho tu nikaliblock chaaap kabla watoto hawajalistukia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom