Clouds, Mungu anawaona kwa hiki mnachotufanyia

ELIAS MICHAEL MORRIS

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
385
298
Kutokana na ugumu wa maisha na mzunguko wa hela kupungua na kupelekea watu kutokua na pesa za kutosha mifukoni kumeibuka na hizi kampeni za FURSA zinazoendeshwa na hawa Clouds, tena wanajinasibu kuwa kutokana na hela kuwa ngumu, hela haipatikani mifukoni, wao wanatoa fursa na kukufanya uzitambue hizo fursa, uzitumie na ujikwamue katika huu mdororo wa uchumi kwa wananchi.
ila wanatoza 10,000 kama ada ya kushiliki hizo semina.

Sasa mi nauliza hivi awa wanatoa fursa au wanatumia fursa? Kama lengo ni kuwasaidia watu wazitambue hizo fursa kwanini wasitoe bure hizo semina?

10,000 kwa mtu asiye na kazi wala mtaji si uonevu huo? Na hivi tatizo kubwa hasa ni kuwa watanzania hawazijui fursa au watanzania wanazijua hizo fursa ila hawana mitaji ya kuwafanya wazitumie hizo fursa?
 
Kuna kwanya moja hivi iliimbaga
Wajinga ndio waliwao
Kekundu
Kekundu

Wanaongelea fursa uku vijana wao mjengoni kila wakianzisha biashara zinafail
Teh teh....... Waache watu wachangamkie fursa mkuu.
Matatizo ya wengine ndio husababisha watu wapate pesa.
 
Ni lazima kwenda?

kutokana na ugumu wa maisha na mzunguko wa hela kupungua na kupelekea watu kutokua na pesa za kutosha mifukoni kumeibuka na hizi kampeni za FURSA zinazoendeshwa na hawa clouds, tena wanajinasibu kua, kutokana na hela kuwa ngumu, hela haipatikani mifukoni, wao wanatoa fursa na kukufanya uzitambue hizo fursa, uzitumie na ujikwamue katika huu mdororo wa uchumi kwa wananchi.
ila wanatoza 10,000 kama ada ya kushiliki hizo semina. sasa mi nauliza hivi awa wanatoa fursa au wanatumia fursa?, kama lengo ni kuwasaidia watu wazitambue hizo fursa kwanini wasitoe bure hizo semina?, 10,000 kwa mtu hasiye na kazi wala mtaji si uonevu huo?, na hivi tatizo kubwa hasa ni kuwa watanzania hawazijui fursa au watanzania wanazijua hizo fursa ila hawana mitaji ya kuwafanya wazitumie hizo fursa?.
 
Wajinga ndio waliwao.
Ulishasikia tajiri anmsaidia mskini.

Manji ashawahi toa msaada wa kupeleka india kama Mengi?
Msaada nenda red cross!

Clouds wanakamua mpaka damu itoke
 
kutokana na ugumu wa maisha na mzunguko wa hela kupungua na kupelekea watu kutokua na pesa za kutosha mifukoni kumeibuka na hizi kampeni za FURSA zinazoendeshwa na hawa clouds, tena wanajinasibu kua, kutokana na hela kuwa ngumu, hela haipatikani mifukoni, wao wanatoa fursa na kukufanya uzitambue hizo fursa, uzitumie na ujikwamue katika huu mdororo wa uchumi kwa wananchi.
ila wanatoza 10,000 kama ada ya kushiliki hizo semina. sasa mi nauliza hivi awa wanatoa fursa au wanatumia fursa?, kama lengo ni kuwasaidia watu wazitambue hizo fursa kwanini wasitoe bure hizo semina?, 10,000 kwa mtu hasiye na kazi wala mtaji si uonevu huo?, na hivi tatizo kubwa hasa ni kuwa watanzania hawazijui fursa au watanzania wanazijua hizo fursa ila hawana mitaji ya kuwafanya wazitumie hizo fursa?.
Du ulitaka wakufundishe bure?halafu wao wapate faida gani? Hii mentality ya kupenda vitu vya bure watz mmeitolea wapi?
 
kutokana na ugumu wa maisha na mzunguko wa hela kupungua na kupelekea watu kutokua na pesa za kutosha mifukoni kumeibuka na hizi kampeni za FURSA zinazoendeshwa na hawa clouds, tena wanajinasibu kua, kutokana na hela kuwa ngumu, hela haipatikani mifukoni, wao wanatoa fursa na kukufanya uzitambue hizo fursa, uzitumie na ujikwamue katika huu mdororo wa uchumi kwa wananchi.
ila wanatoza 10,000 kama ada ya kushiliki hizo semina. sasa mi nauliza hivi awa wanatoa fursa au wanatumia fursa?, kama lengo ni kuwasaidia watu wazitambue hizo fursa kwanini wasitoe bure hizo semina?, 10,000 kwa mtu hasiye na kazi wala mtaji si uonevu huo?, na hivi tatizo kubwa hasa ni kuwa watanzania hawazijui fursa au watanzania wanazijua hizo fursa ila hawana mitaji ya kuwafanya wazitumie hizo fursa?.
Na wao ndio fursa yao hakuna cha bure
 
kufa kufaana kaka
 
Back
Top Bottom