Clouds muiteni pia Paul Christian wa Tabora wakati wa kumhoji Makonda

Hawa nao si ndio wale wale....???
Mapunga kibao ukipunga na wewe punga....
Wanajamvi

Kutokana na kashfa kadhaa zinazoelekezwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam Paul Makonda ningeshauri katika kujibu kashfa namba moja ya cheti cha form four inayomkabili Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam ni bora angeitwa yule Paul Christian Makonda mtangazaji wa kituo fulani mjini Tabora anaesemekana cheti chake ndicho anachotumia Paul Makonda yaani Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam, wote walete original form four certificates zao wazianike tuone ukweli na tuone majina yapi yanatokea katika hizo original certificates kama wanazo, Najua kama ni kweli basi mmoja wao hatakua na hiyo original na aeleze iko wapi na alionayo aseme ameitoa wapi
 
Clouds hawana huo uwezo, Juzi tu wamemfanyia 'bethdei' halafu leo unataka wamvue nguo hadharani? Thubutu yao.
Bora useme, maana kesho msitegemee aje aseme kwamba alitumia vyeti feki, maana kama ni movie tulishajua mwisho ukoje
 
yule mhuni anayeishi kwa kuuza mwili wake kule Marekani kashindwa kuthibitisha madai yake ilhali alisema anao ushahidi kutoka baraza la mitihani. eti leo kaandika kuwa anawaachia waandishi wa habari na wabunge waendeleze alipoishia. Wameumbuka aiseeee. Makonda kesho lazima awalipue
Kweli mhuni kakuzidi akili,kama unachukua muda wako na kuanza kufuatilia flow ya posts zake wakati unaamini kuwa anachokipost sio cha kweli basi na wewe una matatizo makubwa sana kuliko yeye. Kibaya zaidi ni kwamba hata wewe huna ubavu wa kupost ukweli wa mambo ulivyo.
 
TBC ndiyo redio bora na ya watanzania.Naomba viongozi wawe wanaenda TBC.kwa manufaa ya watanzania wote.
 
Kwa sababu nyie ndio mliomleta daud wa tabora fanyen mchango wa nauli mumlete kesho asbhi
 
Back
Top Bottom