Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

Nukuu kutoka kwa lissu."wakimaliza kwetu watahamia na kwenu"mwisho wa kunukuu.

Hii kauli nakumbuka alikuwa anawaambia waandishi wa habari na vyombo vya habari nadhani unabii wake umetimia
 
Clouds hawana watu wa siasa...wamejikita kwenye burudani zaidi kinapokuja kipindi Kama hiki wanaanza kujikanyagakanyaga.
 
Safi sana..... This is a very good news. Hawa si ndio waimba mapambio ya ccm😒😒🤔🤔
 
Hawa siwasikitii sana kwa sababu ya tabia zao za kujipendekeza. Ijapokuwa tatizo lipo zaidikwa wasimamizi kuliko media kwenye hili.

Waliotangaza ni wasimamizi baada ya kuwa kwenye kaziyamuda mrefu kunyonga uchaguzi kwenye maeneo yao.

Sijaona popote wasimamizi kuonywa kwa kosa la kutoa barua na kufanya press event kwa mgombea waliyemtangaza kupita bila kupingwa.
 
Siajelewa hao wagombea wanapata adhabu gani, maana wao na viongozi wao wa ccm katika majimbo ndio walirusha habari hizi?
 
Back
Top Bottom