Clouds Media Group walia na ugumu wa biashara, Kusaga adai wanaweza kufunga hali ikiendelea hivi

wanatambuaje idadi ya viewers kwenye television? sina utalaam wowote kwa haya mambo, nielimishwe.
Kwani unatambuaje idadi ya viewers kwenye whatsapp status yako?

Vingine tuache tu vipite mana kujibu swali lako ni lazima upelekwe sehemu husika upate elimu.
 
wanatambuaje idadi ya viewers kwenye television? sina utalaam wowote kwa haya mambo, nielimishwe.
Nahisi tcra watakuwa na data zote za vyombo vyote vya habari na vile vya mawasiliano ya simu,kwaiyo server yao inaonyesha television zote idadi ya watamazaji kila muda
 
View attachment 957966
Utaratibu gani mkuu wa mkoa anashikwa kwa kutaka kukwepa kodi halafu anaanza kuwalaani wataonunua Samani na Makochi yake.
HAhahahahahahaahahhaahahaha uchumi wa inchi unakua kwa kasi ya ajabu!! katika nchi za Afrika Tanzania ni kinara kwa ukuaji wa uchumi? Watanzania aliyeturoga hakunawa mikono!!!
 
Kwa hiyo wangeripoti Press conference ya Lissu TCRA isingesimamia ile Sheria ya local channels?
Sijazungumzua TCRA kutofunga!
Nimezungumzia ishu ya tundulissu kututaka tuwe wamoja kwenye kudai haki zetu na dhidi ya ukandamizaji iwe direct( nguvu) au kutumia sheria ( indirect)
 
Kwani unatambuaje idadi ya viewers kwenye whatsapp status yako?

Vingine tuache tu vipite mana kujibu swali lako ni lazima upelekwe sehemu husika upate elimu.
Inategemeana na ulivyoelewa swali, siongelei online tv. though wenye kujua wameshatoa ufafanuzi
 
Sijazungumzua TCRA kutofunga!
Nimezungumzia ishu ya tundulissu kututaka tuwe wamoja kwenye kudai haki zetu na dhidi ya ukandamizaji iwe direct( nguvu) au kutumia sheria ( indirect)

:rolleyes::rolleyes::rolleyes:... Kumbe kuna watu wanaishi Tanzania hawana haki na wamekandamizwa ? au naota ??

Ninachojua ni kuwa Mashoga ndio hawana haki yao ya kishetani wanayolazimisha, lakini haki nyingine zote za kibinaadamu zipo... Haki ya kuishi, Haki ya kufanya kazi, Haki ya kuongea na kuwasilisha mawazo yako kama tufanyavyo hapa JF (Tunaongea na kuandika tupendavyo), haki ya kuoa na kuolewa, haki ya kupata elimu, haki ya matibabu, nk.... labda kama unataka haki ya kuiba na kupiga dili ??
 
Kuna band moja inaitwa Makete Band wana wimbo uuitwao "tunaisoma namba" huwa nacheeeeeka
 
wanatambuaje idadi ya viewers kwenye television? sina utalaam wowote kwa haya mambo, nielimishwe.
Mkuu kama usipolipia kingamuzi channel zote zinakata na ukilipia ndo zinaanza kuonesha..unadhani watashindwa kugundua kuwa mda huu unaangalia tv au laa
 
Bosi wa Clouds Media amesema tangu kutokea changamoto ya local channels kuondolewa kwenye ving'amuzi vyombo vya habari hivo vimeathirika kwa kiwango kikubwa na hapo wanapenda kutoa ajira kwa vijana lakini wanakoelekea watakwama na kupunguza wafanyakazi.

Kusaga" wakati kupo kwenye ving'amuzi vyote zuku, startimes, Azam na DStv mfano makampuni Kama Vodacom, Tigo na Airtel walikuwa wanaona views milioni 1 wanakulipa fungu zuri kutokana na idadi kubwa ya watazamaji, lakini kwa sasa views wameshuka Hadi laki moja kwaiyo makampuni hayo yamekata bajeti zao na kukulipa kuligana na idadi ya watazamaji na huwezi kuwalaumu hata Kama wanakupenda lakini wanakulipa unachostahili Sasa kwa Hali hii wafanyakazi Hawa vijana wanafamilia tutawalipa vipi?

Maana yake hatuwezi kufika inabidi tuwapunguze japo tunawapenda". Kuna haha la kuniangalia upya suala hili.

Kusaga ameongeza hata wasanii wameathirika hawapati tena show nje kwakuwa hawaonekani Tena Kama zamani

View attachment 957913
Kama wewe(CMG) kweli ndiye masihi, jiokoe mwenyewe hapa msalabani.
 
MBONA WANA MATANGAZO MENGI TUU, KWA MFANO MIMI NILIACHA KUSIKILIZA KIPINDI CHAO CHA SPORTS ROUND UP KWASABABU KIMEJAA MATANGAZO KULIKO TAARIFA ZA MICHEZO KAMA ZAMANI,...
 
CCM kwenyewe watu wamepigwa butwaa..hawajui wafanye nini ile 'Spark"ya Membe inatakiwa iwashe Chain reaction ndani ya Chama..Ngoja tuone
CCM hapo inahusikaje na hiyo mada tajwa
Labda unifahamishe mkuu kuuliza sio ujinga
 
Back
Top Bottom