Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sie tunapromote TBC ili wote muitazame.Hayo mengine sie hatujali.Lengo letu muangalie TBC msikilize hekima za mtukufu
nonsenseWasafi media group imehaanza kuwanyoa tayari
Hahaha ww jamaa bhana...Namba zina someka kote!
Hassan Ngoma anahisi ataendelea kuonesha kipanda uso chake pale C360.
Nchi hii hata wakisema wanaume wote wapewe mimba ...mtanung'unika mtandaoni kama hivi na mimba mtabeba..hakuna mwanaume wa kuingia front! ndiyo maana nimepata mzuka wa kugombea urais 2030KADRI MUDA UNAVYOKWENDA MAMBO YANAKUWA BANKRUPT KABISA KIUCHUMI TUNA SHUKA SIO KUPANDA NA NI TATIZO SANA ANGALIA NCH NYING SANA ZENYE KUMINYA MAMBO MWISHO WA SIKU WATU WANACHOKA NA KUZAMA FRONT
mi huwa naiona mbona kupitia cable TVmfano mwingine ni bongo star search, swala la local channels pia imesababisha show hiii kukosa ule u maaarufu wake wa miaka ile, watu hawaioni wala nn wanafanya mambo mengine
Hilo lipo wazi....biashara ya tv bongo imekua ngumu sana......wanawekewa masharti kuliko hata yake ya mganga wa kienyeji
TCRA sijui walikuwa wanawashwa na nini, sisi watazamaji hatujawahi kulalamika
Mwenzio ccm kindakindaki Imhotep ameshaihama ccm sasa, bado wewe Mudawote soon. Na wengine wengi tu hapa wamepooza sio kama zamani walivyokuwa wanaitetea ccm.Hivi hii local channel ndiyo nini?