Clouds Media Group walia na ugumu wa biashara, Kusaga adai wanaweza kufunga hali ikiendelea hivi

ata sio wa kuwaonea huruma ao..
sio mda utawakuta qenye campen kusaport kijani ambayo leo hii ndio imewafanya aya
 
Bosi wa Clouds Media amesema tangu kutokea changamoto ya local channels kuondolewa kwenye ving'amuzi vyombo vya habari hivo vimeathirika kwa kiwango kikubwa na hapo wanapenda kutoa ajira kwa vijana lakini wanakoelekea watakwama na kupunguza wafanyakazi.

Kusaga" wakati kupo kwenye ving'amuzi vyote zuku, startimes, Azam na DStv mfano makampuni Kama Vodacom, Tigo na Airtel walikuwa wanaona views milioni 1 wanakulipa fungu zuri kutokana na idadi kubwa ya watazamaji, lakini kwa sasa views wameshuka Hadi laki moja kwaiyo makampuni hayo yamekata bajeti zao na kukulipa kuligana na idadi ya watazamaji na huwezi kuwalaumu hata Kama wanakupenda lakini wanakulipa unachostahili Sasa kwa Hali hii wafanyakazi Hawa vijana wanafamilia tutawalipa vipi?

Maana yake hatuwezi kufika inabidi tuwapunguze japo tunawapenda". Kuna haha la kuniangalia upya suala hili.

Kusaga ameongeza hata wasanii wameathirika hawapati tena show nje kwakuwa hawaonekani Tena Kama zamani

View attachment 957913
Pascal Mayalla naye analia kiongozi anawaza kujenga tuu
 
Hivi hii local channel ndiyo nini?
 
Kilicho msaidia Kikwete japo kidogo ni kabachelor degree kake kauchumi,akawa anaheshimu misingi na miiko ya kiuchumi.
Mchumi asiyejua kwa nini nchi (wananchi) ni maskini? Ni urembo, tu kuwa nae kafika chuo kikuu.
 
Wafunge tu coz hali imebadilika sana. Online tv zimekuwa nyingi mno,blogs, forums na vikorokoro kibao. Wakati huu unahitaji ubunifu wa hali ya juu sio mazoea. Zamani Radio kubwa zilikua Radio one, RFA, RTD. Leo hii kila kona kuna Radio na zinakimbiza. Tukubali hali imechange sana na TUKUBALI KUBADILIKA.
Mkuu wacha kuzunguka, sababu ni hii
sababu inajulikana na inahusiana moja kwa moja na aina ya utawala uliopo madarakani hivi sasa nchini.
Huu ndio ukweli.
 
Wafunge tu coz hali imebadilika sana. Online tv zimekuwa nyingi mno,blogs, forums na vikorokoro kibao. Wakati huu unahitaji ubunifu wa hali ya juu sio mazoea. Zamani Radio kubwa zilikua Radio one, RFA, RTD. Leo hii kila kona kuna Radio na zinakimbiza. Tukubali hali imechange sana na TUKUBALI KUBADILIKA.
Wangapi wanaangalia online TV kwa bei hizi za bado?
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom