Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,006
- 1,956
Tupo kwenye right truck wala msijali
Hongera Mkuu kwa kuitambua kweli na hiyo kweli itakuweka huru na utakua huru kweli kweli!Nimeshasema tena na tena kuwa nimekihama Chama Cha Mapinduzi kwa ridhaa yangu bila ya kununuliwa au kuhongwa na mtu yeyote.
Jana alikuwa Pascal.......leo Kusaga.....imbombo ngafu!
Whaaat!Kuna tetesi kuwa flat screen zinaweza kutumiwa na hackers kudukua taarifa za mtumiaji
Bosi wa Clouds Media amesema tangu kutokea changamoto ya local channels kuondolewa kwenye ving'amuzi vyombo vya habari hivo vimeathirika kwa kiwango kikubwa na happy wanapenda kutoa ajira kwa vijana lakini wanakoelekea watakwama na kupunguza wafanyakazi.
Kusaga" wakati kupo kwenye ving'amuzi vyote zuku, startimes, Azam na DStv mfano makampuni Kama Vodacom, Tigo na Airtel walikuwa wanaona views milioni 1 wanakulipa fungu zuri kutokana na idadi kubwa ya watazamaji, lakini kwa sasa views wameshuka Hadi laki moja kwaiyo makampuni hayo yamekata bajeti zao na kukulipa kuligana na idadi ya watazamaji na huwezi kuwalaumu hata Kama wanakupenda lakini wanakulipa unachostahili Sasa kwa Hali hii wafanyakazi Hawa vijana wanafamilia tutawalipa vipi?
Maana yake hatuwezi kufika inabidi tuwapunguze japo tunawapenda". Kuna haha la kuniangalia upya suala hili
Kusaga ameongeza hata wasanii wameathirika hawapati tena show nje kwakuwa hawaonekani Tena Kama zamani
View attachment 957913
kidogo kidogo tunakaribia kuongea lugha moja.
Naona sasa huu wimbo mmeuelewaPresident from hell,..safari hii tumeingia choo cha wasichana..
Nadhawanatambuaje idadi ya viewers kwenye television? sina utalaam wowote kwa haya mambo, nielimishwe.
Hivi vijisababu mnavyoviokoteza vya kujifariji mtaenda navyo hadi kaburini! Wenzio akina johnthebaptist imhotep cocochanel etc wameshtuka!! Hawapo tayari kuendelea kuubeba huu mzoga kichwani huku mzoga wenyewe umeanza kuoza! Nyie makuruta ndiyo mmeachiwa huo msala!Wafunge tu coz hali imebadilika sana. Online tv zimekuwa nyingi mno,blogs, forums na vikorokoro kibao. Wakati huu unahitaji ubunifu wa hali ya juu sio mazoea. Zamani Radio kubwa zilikua Radio one, RFA, RTD. Leo hii kila kona kuna Radio na zinakimbiza. Tukubali hali imechange sana na TUKUBALI KUBADILIKA.
Ni kweli Mimi mwenyewe kuangalia Clouds TV kwa mara ya mwisho nafikiri ilikuwa kabla hawajaiondoa kwenye dikoda ya Azam. Hata channel zingine naziangalia kupitia you tube. Waombe mamlaka zibadili maamuzi vinginevyo watakufa njaaBosi wa Clouds Media amesema tangu kutokea changamoto ya local channels kuondolewa kwenye ving'amuzi vyombo vya habari hivo vimeathirika kwa kiwango kikubwa na happy wanapenda kutoa ajira kwa vijana lakini wanakoelekea watakwama na kupunguza wafanyakazi.
Kusaga" wakati kupo kwenye ving'amuzi vyote zuku, startimes, Azam na DStv mfano makampuni Kama Vodacom, Tigo na Airtel walikuwa wanaona views milioni 1 wanakulipa fungu zuri kutokana na idadi kubwa ya watazamaji, lakini kwa sasa views wameshuka Hadi laki moja kwaiyo makampuni hayo yamekata bajeti zao na kukulipa kuligana na idadi ya watazamaji na huwezi kuwalaumu hata Kama wanakupenda lakini wanakulipa unachostahili Sasa kwa Hali hii wafanyakazi Hawa vijana wanafamilia tutawalipa vipi?
Maana yake hatuwezi kufika inabidi tuwapunguze japo tunawapenda". Kuna haha la kuniangalia upya suala hili
Kusaga ameongeza hata wasanii wameathirika hawapati tena show nje kwakuwa hawaonekani Tena Kama zamani
View attachment 957913
Ila hakuna rangi tutakayoacha ionahatunywi sumu,hatujinyongi.
Paascal Mayalla nae jana kaporomosha kilio kama hiki hiki ila kaa sauti kubwa kuliko Jo Kusaga, naona yeye amelia kwa sauti ndogo.Hii ngoma imefika patamu!