kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,712
sababu zako wala hazihusiani na kuathirika kwa biashara ya television nchini.Wafunge tu coz hali imebadilika sana. Online tv zimekuwa nyingi mno,blogs, forums na vikorokoro kibao. Wakati huu unahitaji ubunifu wa hali ya juu sio mazoea. Zamani Radio kubwa zilikua Radio one, RFA, RTD. Leo hii kila kona kuna Radio na zinakimbiza. Tukubali hali imechange sana na TUKUBALI KUBADILIKA.
bado mainstream media ina nguvu sana... online tv na blogs sio sababu.
sababu inajulikana na inahusiana moja kwa moja na aina ya utawala uliopo madarakani hivi sasa nchini.