Clouds media Dj's battle..

Clouds media Dj's battle..

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,754
Reaction score
28,158
baada ya dj mafuvu kulalamika huko insta Kuwa madj wenzake pale clouds wanambania... sasa clouds wameamua Kuwa..
dj sinyorita, dj scratch designer, na dj d ommy.,na mafuvu mwenyewe.. kwa kupitia mchakato wa kura za mashabiki ..dj mmojawapo Kati ya hao atapiga fiesta songea na mtwara!.. binafsi Mimi kura yangu imeenda kwa DJ mafuvu..

"me ndo bwanaake na dem wangu "..
 
Sishangai Wanavyohaha Maana Fiesta Mwaka Huu Ni Zaidi Ya Kubuma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom