Clouds matangazo yamezidi,, dah !!

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
886
376
nasikiliza kipindi cha AMPLIFAYA hapa, sasa ni dakika ya 23, ni dakika 2 tu ndiyo kuna hizo habari za top 10. Yaani ni matangazo tu muda wote. Hawana hata ile kwamba sasa ni matangazo na baadaye ni habari, wao ni matangazo tu. Ni hivyohivyo toka kile kipindi cha Kibonde. Inaboa kweli.
Hata wangeweka basi walau nusu kwa kwa nusu [ which is still higher than normal accepted standards ] wao nadhani ni 75% matangazo.
 
Hii inatuambia kuwa, pamoja na haters wooooote bado ni redio chaguo la watangazaji which means more money........way to go Ruge
 
Kama umechoka kusikiliza matangazo unaweza kutafuta station nyingine ama la huna chaguo jingine zima redio.

Inaonekana wasikilizaji wengi wa clouds wanapenda matangazo ndio maana yamekuwa mengi kuliko habari nyenginezo.
 
Hamna chombo huru nchini kinachoratibu idadi ya wasilkilizaji wa vituo vya radio. Kwa hiyo taarifa yako si ya ukweli.
 
Kama umechoka kusikiliza matangazo unaweza kutafuta station nyingine ama la huna chaguo jingine zima redio.

Inaonekana wasikilizaji wengi wa clouds wanapenda matangazo ndio maana yamekuwa mengi kuliko habari nyenginezo.

Kama ndiyo hivyo basi wabadilishe majina ya vipindi vyao ili ku -reflect ukweli kwamba vipindi vyao vinajaa matangazo zaidi kuliko majina walivyoviita.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom