Tetesi: Clouds kumtosa Bashite Fiesta Dar.. Waalika wakuu wa mikoa yote kasoro Dar

Namshauri asiende maana watamzomea kama walivyomfanyia tamasha la Efm. Bora atulie tu asije akang'ang'aniza mambo akahadhirika.
yule editor/cameraman wake nayesafirigi naye ali edit akachanganya wide and long shot aka fake sauti na kupost you tube eti bashite aliashangiliwa baada ya kusema"weka mkono mmoja juu sema asante Mungu kwa kutupa rais magufuli"kwa unayejua mambo ya editing unagundua u feki waliofanya,jamaa alizomewa aisee,aliwatibua watu walioenda pale kutoa stress
 
Wanaogopa atakuja na askari wenye siraha na kung'ang'aniza awekewe wasanii anaowataka yeye.siyo ndiyo historia yenyewe.kuingia studio na kulazimisha stori yake iende hewani
 
Wanaogopa atakuja na askari wenye siraha na kung'ang'aniza awekewe wasanii anaowataka yeye.siyo ndiyo historia yenyewe.kuingia studio na kulazimisha stori yake iende hewani
 
Wakumbuke tu Makonda ndiyo Mwenye Mkoa wake na ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na usalama ya Mkoa tukipata taarifa zetu za kiinteligesia mnaweza kuifanyia hiyo Fiesta yenu Mkoa wa Pwani siyo Dar Es Salaam [HASHTAG]#WashambaHatujaribiwi[/HASHTAG]
Kibali atoi bashite sema ataleta fitna kua mwenyekiti sio ndo ye atakua anaweka ulinzi sema umri wake ndo unamfanya awe ivo kwan miaka yote akukua na wakuu wa mikoa tatizo ngekewa inamsumbua cheo kikubwa kuliko anaekimiliki
 
Tetesi kuwa bifu huenda likafika mbali kwani clouds safari hii wamewapa ugeni rasmi wakuu wote wa mikoa inakofanyika kasoro mkuu wa Dar.. Tetesi ni kuwa fiesta Dar mgeni rasmi atakuwa mchungaji moja atakaezindua usafiri wake binafsi mpya wa angani.
Shangazi ahsante kwa taarifa.
 
3071a8c012edb7f6b5920a2bfd3620fa.jpg
 
Back
Top Bottom