Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,719
- 1,440
Nimekuwa mfuatiliaji wa hii Radio lakini ninashindwa kuelewa mwelekeo wao katika kutoa habari.Inaonekana kana kwamba haina ulazima wa kusomea uandishi wa Habari ama kuwa na taaluma inayohusiana na Habari ili uwe unatoa habari,kutangaza, kutoa uchambuzi wa maswala mbali mbali kwenye vyombo vya habari nk
Mfano Kibonde amekuwa mchambuzi wa mpira yeye ,maswala ya siasa,kiuchumi,mtaalamu wa habari maswuala ya kivita mfano sakata/vita liliyokuwa linaendelea libya nk.
Kwa mtazamo wangu wapo watu wenye vipaji tofauti na wanaoweza kumudu vyema kila sector,ila huwa hawa watangazaji mara nyingi wanaelezea hisia zao kupelekea kituo kuwa cha kueneza majungu badala ya habari.
Hivi hakuna vigezo vya kitaaluma vinavyotakiwa kwa hawa wamiliki pindi wanapoanzisha hivi vyombo vya habari?