Clouds kulikoni?

Mwakalinga Bujo

JF-Expert Member
Oct 22, 2008
2,719
1,440
Nimekuwa mfuatiliaji wa hii Radio lakini ninashindwa kuelewa mwelekeo wao katika kutoa habari.Inaonekana kana kwamba haina ulazima wa kusomea uandishi wa Habari ama kuwa na taaluma inayohusiana na Habari ili uwe unatoa habari,kutangaza, kutoa uchambuzi wa maswala mbali mbali kwenye vyombo vya habari nk

Mfano Kibonde amekuwa mchambuzi wa mpira yeye ,maswala ya siasa,kiuchumi,mtaalamu wa habari maswuala ya kivita mfano sakata/vita liliyokuwa linaendelea libya nk.

Kwa mtazamo wangu wapo watu wenye vipaji tofauti na wanaoweza kumudu vyema kila sector,ila huwa hawa watangazaji mara nyingi wanaelezea hisia zao kupelekea kituo kuwa cha kueneza majungu badala ya habari.

Hivi hakuna vigezo vya kitaaluma vinavyotakiwa kwa hawa wamiliki pindi wanapoanzisha hivi vyombo vya habari?
 
mwandshi wa habari mtaalamu ni PJ ila hao wengine mkuu ni macommentator tu
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa hii Radio lakini ninashindwa kuelewa mwelekeo wao katika kutoa habari.Inaonekana kana kwamba haina ulazima wa kusomea uandishi wa Habari ama kuwa na taaluma inayohusiana na Habari ili uwe unatoa habari,kutangaza,kutoa uchambuzi wa maswala mbali mbali kwenye vyombo vya habari nk.Mfano Kibonde amekuwa mchambuzi wa mpira yeye ,maswala ya siasa,kiuchumi,mtaalamu wa habari maswuala ya kivita mfano sakata/vita liliyokuwa linaendelea libya nk .
Kwa mtazamo wangu wapo watu wenye vipaji tofauti na wanaoweza kumudu vyema kila sector,ila huwa hawa watangazaji mara nyingi wanaelezea hisia zao kupelekea kituo kuwa cha kueneza majungu badala ya habari.
Hivi hakuna vigezo vya kitaaluma vinavyotakiwa kwa hawa wamiliki pindi wanapoanzisha hivi vyombo vya habari?

Kibonde ni commentator. Yeye anatolea maoni kuhusu current events. Sasa kama kwenye current events kuna habari za mambo tofauti tofauti atatoa maoni yake kulingana na ufahamu wake.

Kipindi cha Jahazi si straight up journalism. The program is general opinion-based. Don't tune in to it if you are looking for any expert opinion. Ndiyo maana kukiwa na jambo ambalo linahitaji uchambuzi wa kuhusiana na fani husika huwaga wanakuwa na mgeni mtaalamu wa hilo jambo.

Watanzania inabidi muelewe kuwa tasnia ya habari ni pana na haihusiani tu na kukusanya, kuandika, kuzihariri, na kuzirusha tu habari. Hata uchambuzi jumla wa kimaoni nayo ni sehemu ya tasnia ya habari.
 
Taaluma wapi, mtu wangu? maisha yameshakuwa magumu ndo maana Akina kibonde mara utasikia ni MC mara utasikia ni mtangazaji, mara utamkuta akinyoa kama kinyozi ilimradi tuu aweze kwenda haja
 
Watu humu hawajui kabisa tofauti ya journalist, newscaster, editor, wala commentator.
Hawajui ndiyo maana wanachanganya wanadhani wewe ni Public relations officer wa Clouds FM, hawajui kwamba unaweza ukawa ni mshabiki tuu.
 
Kibonde ni commentator. Yeye anatolea maoni kuhusu current events. Sasa kama kwenye current events kuna habari za mambo tofauti tofauti atatoa maoni yake kulingana na ufahamu wake.

Kipindi cha Jahazi si straight up journalism. The program is general opinion-based. Don't tune in to it if you are looking for any expert opinion. Ndiyo maana kukiwa na jambo ambalo linahitaji uchambuzi wa kuhusiana na fani husika huwaga wanakuwa na mgeni mtaalamu wa hilo jambo.

Watanzania inabidi muelewe kuwa tasnia ya habari ni pana na haihusiani tu na kukusanya, kuandika, kuzihariri, na kuzirusha tu habari. Hata uchambuzi jumla wa kimaoni nayo ni sehemu ya tasnia ya habari.
kwa nini hapo umegenerelise?
au na wewe unaamini kuwa samaki mmoja akioza ndio wote wameshaoza..?
i dont like this!!
 
hivi mkuu kwa nini unapenda sana kuingilia post zinazohusu clouds na watu wao??wewe ni nani??una share pale??
ni mtu kama wewe ..sema anapenda tu kuweka watu sawa kama mtu mwingine tu mwenye interest na kitu kingine chochote
 
Hawajui ndiyo maana wanachanganya wanadhani wewe ni Public relations officer wa Clouds FM, hawajui kwamba unaweza ukawa ni mshabiki tuu.
duh................ where is the helmet?
 
mimi nataka kutofautiana kidogo na nyani ngabu hata kama umekunya maji ya ladha ya clouds lakini kawaida kitaalam ukikoment kitu usiwe na affiliation na chombo husika kwa mfano kosa nilionalo mimi kwa kibonde si utangazaji bali ni kuongea as if anajua anchoongea wakati hajui lolote ili uwe commentetor lazima uwe na data halafu ndo ulete review, lakini pia jambo lingiine tatizo lililopo si kwa kibonde tu ni kwa karibuni media nyingi za kibongo kusema kitu kama ndio editorial...afadhali gazeti huwa lina msimamo wa mharirir ambao huwa kama mwongozo na msimamo wa chombo husika.

Lazima tufike sehemu wabongo tuheshimu taaluma kibonde ni maarufu kwa kuongea upupu japo anayo credibility kubwa na anavutia kusikiliza ila watu wa karibu msaidieni kupata data na kutojifanya anajua..

hii taaluma ya habari nchini nadhani ni wakati mwafaka sasa kuwe na vigezo haijalishi unatenda nini watu wawe na BA YEYOTE ILE HALA MAFUNZO MAFUPI WAPEWE kama mwajiri karidhika na kipaji Vinginevyo upupu matusi kila siku hayataesha...haha eti ndo kwenda na wakati
 
mimi nataka kutofautiana kidogo na nyani ngabu hata kama umekunya maji ya ladha ya clouds lakini kawaida kitaalam ukikoment kitu usiwe na affiliation na chombo husika

Kila siku watu humu wana-commentate kwenye kila kitu. Na hili una tatizo nalo?

kwa mfano kosa nilionalo mimi kwa kibonde si utangazaji bali ni kuongea as if anajua anchoongea wakati hajui lolote

Hapa unadhihirisha tatizo lako ni Kibonde yeye binafsi. Hupendi tu jinsi alivyo outspoken na mwenye kujiamini. You don't have to like him and that's your prerogative. Kama unadhani hajui lolote huo ni mtazamo wako.

ili uwe commentetor lazima uwe na data halafu ndo ulete review,

Sasa uta commentate kuhusu hewa? Wee vipi wewe? Nimesema yeye ni commentator wa current events. Events ni matukio yaliyojiri na yanayojiri na kuripotiwa na vyombo vya habari.

lakini pia jambo lingiine tatizo lililopo si kwa kibonde tu ni kwa karibuni media nyingi za kibongo kusema kitu kama ndio editorial...afadhali gazeti huwa lina msimamo wa mharirir ambao huwa kama mwongozo na msimamo wa chombo husika.

Hapa kidogo umetenda haki.

Lazima tufike sehemu wabongo tuheshimu taaluma kibonde ni maarufu kwa kuongea upupu japo anayo credibility kubwa na anavutia kusikiliza ila watu wa karibu msaidieni kupata data na kutojifanya anajua..

Ni wapi ilipoandikwa kuwa commentator lazima uwe na taaluma? Reverend Al Sharpton kapata shavu MSNBC...huyu ni civil rights activist...ana radio show yake na sasa kapata TV show yake na nahisi wewe ni liberal kama yeye na pia ni mpambe wa Obama wenu. Huyu naye hutaki awe hewani?

Kama Kibonde anaongea upupu huo ni mtazamo wako but some of us like him. Lakini to be a commentator you don't need a college degree. The only qualification you need to have is know how to run your mouth. What part of that don't you understand?

hii taaluma ya habari nchini nadhani ni wakati mwafaka sasa kuwe na vigezo haijalishi unatenda nini watu wawe na BA YEYOTE ILE HALA MAFUNZO MAFUPI WAPEWE kama mwajiri karidhika na kipaji Vinginevyo upupu matusi kila siku hayataesha...haha eti ndo kwenda na wakati

Fikra za kiimla hizo. Mkitoka hapo mtaanza censorship.
 
Binaafsi namkubali sana kibonde ila anafika sehemu analewa sifa na tatizo lake pseudo knowledge aliyonayo ktk mambo mengi so kama unaamini ni mtu anayefaa anafaa kuongeza ujuzi wa kitaaluma.

Mimi ni miongoni mwa watu wasiokubaliana na censorship ila nadhan its right time kujengea uwezo wabongo ili wawe na knowldge walau robo ya mambo duniani nimewahi kumsikia huyu ndugu akiongelea inflation ni aibu......clouds fm wa goodwill strong sana kuliko chombo chochote lakini lazima kuzijua zama hizi si za kusadikika
 
Back
Top Bottom