Clouds Fm wamshukia Mnyika, wampuuza kwa kuchanganya mambo

Nadhani radio zipo nyingi kama yalivyo magazeti. Unajuwa inategemea mtu unapenda kusikiliza habari za namna gani. Kama redio au gazeti linataja mambo siyoyapenda.. kwa nini usiipotezeee tuuuu. Uzuri ni kuwa redio zetu zinaweza kushika stesheni moja at a time,.. we badili frequency tu badala ya kubaki kulalamika.

Bado unahitaji kurekebishwa. Huwezi kuruhusu kila mtu apewe anachotaka. Hiyo itakuwa siyo nchi.

Unataka leo hii uonyeshwe ngono mchana kweupe eti kwa sababu unapenda na asiyetaka abadili frequency! Mbona itakuwa nchi ya wapumbavu!
 
Sio siri kuwa Jakaya anawatumia sana clouds katika kuhamasisha vijana na ndio maana yuko karibu sana na Joseph!! Huyu mtangazaji Kibonde hana upeo mkubwa wa kujua mambo kwani elimu yake ni basic tu kwahiyo hana tools za kuweza kuona uhusiano kati ya Meremeta na hii report ya U.N. kuhusu usafirishaji wa silaha kwenda DRC kupitia Lake Tanganyika. Sintashangaa iwapo hata hiyo issue ya Meremeta pengine haijui!! Hawa ndio sampuli ya vijana Mkulu anaotaka waongoze nchi!! Kumbukeni hawa clouds ndio lilikuwa kimbilio la kwanza kwa Masha kutaka kujisafisha alipokumbana na sakata la Mengi!

JK mwenyewe ni type hiyo hiyo. Kama mpaka sasa hivi pamoja na kuwa kwenye uongozi na exposure yote yuko hivi, je asingesoma si ndio ingekua balaa?
 
JK mwenyewe ni type hiyo hiyo. Kama mpaka sasa hivi pamoja na kuwa kwenye uongozi na exposure yote yuko hivi, je asingesoma si ndio ingekua balaa?

No comment. Ni maoni yako na u r entitled to that!
 
Hawa jamaa wa clouds FM wana matatizo sana na hasa hicho kipindi cha Jahazi wanatumia lugha ya matusi na maneno ya mitaani as if inasikilizwa na wahuni wa mitaani, ilhali watu wenye heshima zetu nasi tunasilkiliza ili tupate habari, lakini matokeo yake tunakereka.


Na huwa wanapiga jingle yao moja ya mkuu wa kaya akiwapongeza kwa kazi nzuri!!

Inashangaza sana!!
 
A.k.a Radio ya Watu . Hii ni radio inayo wakilisha watu wanapo openda kujiburudisha zaidi ,na maalum kwa vijana walio na umri kianzia 15 - 35 ,kuilumu sana nadhani ni kuionea ndio mana ikaitwa Kijiwe.

Kwenye radio hiii hakuna kipya zaidi ya ku brainwash vijana wa kitanzania kwa kuwapumbaza kwa kuwadangnya kuwa msanii fulani hafai na fulani anafaa kwa maslahi ya wenye radio .

Kiufupi ni inatoa burudani kwa watu wasio upeo wa kufikiri kwa kiwango kikubwa .
 
A.k.a Radio ya Watu . Hii ni radio inayo wakilisha watu wanapo openda kujiburudisha zaidi ,na maalum kwa vijana walio na umri kianzia 15 - 35 ,kuilumu sana nadhani ni kuionea ndio mana ikaitwa Kijiwe.

Kwenye radio hiii hakuna kipya zaidi ya ku brainwash vijana wa kitanzania kwa kuwapumbaza kwa kuwadangnya kuwa msanii fulani hafai na fulani anafaa kwa maslahi ya wenye radio .

Kiufupi ni inatoa burudani kwa watu wasio upeo wa kufikiri kwa kiwango kikubwa .

kaka naona ume-hit 'em up...clouds fm and the family...hata wasikilizaji wao nao ni upeo mdogo wa kufikiri....HILO KAKA NENO...
 
Mpaka mwisho naona hakuna mtu ambaye yupo upande wa Clouds mnamaana hawamo humu ndani JF au JF hawaijui?
 
Hahahahaha saizi wameisoma habari ya Mnyika naona wamo jamani teh teh teh
 
Kuna tetesi kwamba Clouds imenunuliwa na Don Rostam na wenzake.
_______________________________________________________
MASHOGA, WASAGAJI, MAMENDE WAUAWE. HAWANA TOFAUTI NA WAUAJI WA MA ALBINO.

Mkuu,

Sikufahamu ila nikisoma hiyo sahihi yako, naona na wewe ni sawa na hao wafanyakazi wa Clouds. Napata hata wasiwasi wa hii tetesi yako kwani naona unaishi katika dunia ya tetesi sana. Ngoja nisome mpaka mwisho nione kama maneno yako yana ukweli.

Ila si kweli kuwa Mashoga ni sawa na wauwa Ma-Albino. Mtu kama George Michael, Elton John nk utawezaje kusema ni wauwaji. Sanasana labda useme mtumia Condoms na wao wote ni sawa kwani at the end of the day, wote hawana watoto. After all dunia sasa ina watu wengi sana, wengine wasipozaa, ni sawa tu. Nature ina tabia ya kujilinda mara ikizidiwa. Ndiyo maana kuna mdudu, vita, Swin Flu, Malaria, ect ili kupunguza watu. Hivyo, na wewe jaribu kuwa mchunguzi wa mambo kabla hujatoka. Misaada mnayopokea mingi kutoka UK, Holland and German ni kodi za mashoga.
 
In short CLOUDS INASHUKA THAMANI WASIPOANGALIA WATASHUKA HADI WAFIKIE LEVEL YA MAGAZETI YA UDAKU YA AKINA SHIGONGO!!

Unajua magazeti ya Udaku yanalipa sana kuliko magazeti haya mengine maana haya yanasomwa na lower class na mid class kwa hiyo hawa jamaa wanavuna pesa asikwambia mtu.
 
Unajua magazeti ya Udaku yanalipa sana kuliko magazeti haya mengine maana haya yanasomwa na lower class na mid class kwa hiyo hawa jamaa wanavuna pesa asikwambia mtu.

I see its all about money mpwa!!! who cares whether you maintain the standarda or rather abide by the ethics!!! kazi ipo
 
I see its all about money mpwa!!! who cares whether you maintain the standarda or rather abide by the ethics!!! kazi ipo

Yeah watu wapo kazini no matter uzushi au ukweli lakini imradi katimiza wajibu na anapata chake hiki ndicho kinacho tutafuna sisi waTZ tutaendelea kusubili.
 
Watangazaji wa Clouds Fm, Kibonde na Gadner wamemshukia mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mnyika na kueleza kwamba anachanganya mambo. Wanahabari hao waliyasema hayo katika kipindi cha Jahazi kinachorushwa na kituo hicho.

Jambo hilo lilijitokeza wakati wakisoma magazeti katika kipindi hicho ambapo Kibonde aliamua kumpuuza na kupuuza kuisoma habari iliyokuwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Dar Leo.

Gazeti hilo lilinukuu kauli ya Mnyika kuhusu ripoti ya Umoja wa Mataifa(UN) inayohusisha Tanzania na tuhuma za uuzaji na silaha.

Kibonde alisema kuwa kitendo cha Mnyika kutaja suala la dhahabu na Kampuni ya Meremeta, na madini na ripoti ya UN inayohusu silaha ni kuchanganya mambo kwa lengo la ubunge wa ubungo mwaka 2010.

Hivyo, Kibonde aliacha kuisoma habari hiyo hewani kwa kauli ambayo iluungwa mkono na Gadner.

Kwa tukio hilo Clouds Fm imeweza kumuumbua vizuri Mnyika kwa kuwa redio hiyo ni kipenzi cha vijana kote Dar es salaam ikiwemo katika jimbo la Ubungo.

Tukio hilo ni dalili ya wanahabari kuwa makini katika kuchambua mambo na hivyo kuepuka propaganda chafu za wanasiasa dhidi ya CCM na serikali yake

........ndiyohiyo

Huyo Kibonde mwenyewe ameanza kujinadi kuwa anakusudia kugombea ubunge mwaka 2010 huko mkoani kwao Mbeya, ila hajaweka wazi atagombea jimbo gani na kupitia chama gani, sijui atakuwa mgombea huru!!??
Lakini kiufupi kwa wanaoisikiliza redio clouds asikia mengi ya upuuzi na machache ya maana. Angalau mara moja moja kwenye kipindi cha power break fast kuna baadhi ya vitu vya msingi wanaviongea hasa yule anajiita bonge na harakati zake za barabarani.
 
Mara nyingi JF imekuwa ni chanzo cha habari za front page ktk magazeti fulani. Ina maana kwa mwana habari makini anaweza akajifunza kama sisi sote tunavyojifunza ndani ya JF.

Clouds nawalaumu tena na tena kwa sababu wameshindwa kuchukuwa habari iliyo njema ktk JF. Walicho amua ni kutumia kusikika kwao kusema walivyosema.

Huo ni uzembe wa kiakiri. Hata kama ni kinyume na interests za mwajili wao, basi bora wangekaa kimya! Ndo kawaida ya mtu akishikwa pabaya.
 
FP,
Tatizo si kutosoma. Wangelikuwa wamejiandaa na kuicha kabisa kusoma kusingelikuwa na maneno. Wangeliweza hata kurukia page ya michezo na kuacha front page. Ila kusoma kidogo na kuanza kusiliba kuwa huo ni upupu maana hawaoni conection na hao hao watu unasema wana uwezo mkubwa wa kufikiri basi inaanza kunipa utata.

Mwisho ni kweli wajitahidi kuwa waangalifu maana mara nyingi mtu akizaa mtoto mpya anasahau sana watoto wake wa zamani. Kama sasa wana TV, unaweza kukuta wakajisahau kwa mambo mengine. Na pia kampuni inavyopanuka, huwa wanaenda hadi mwisho wanakuwa kama GM ambao sasa wanauza Hummer, Volve, Opel nk kwa sababu majukumu ya utawala yamewazidi. Na unafahamu kabisa kuwa GM wana washauri na wanasheria wazuri tu kuzidi hao wa Clouds FM.

Anyway, mwisho wa siku ushauri ni ushauri tu. Unaweza kuuona wa kijinga ila ukikaa na kutulia vizuri, yanaweza kuwa maneno mazito sana ambayo siku moja ndiyo utakuja kuyakumbuka. Unakumbuka film ya Indepence Day, wakati jamaa kakaa chini na baba yake akamwambia kuwa asikae chini maana ni baridi na anaweza kuugua mafua. Hii ilimpa jamaa jibu ambalo ndiyo lilitumia kuwashambulia hao wavamizi kwa kuunganisha MAFUA na VIRUS. Too simple and too dificult at the same time, just depending with the angle of your view.
 
A.k.a Radio ya Watu . Hii ni radio inayo wakilisha watu wanapo openda kujiburudisha zaidi ,na maalum kwa vijana walio na umri kianzia 15 - 35 ,kuilumu sana nadhani ni kuionea ndio mana ikaitwa Kijiwe.

Kwenye radio hiii hakuna kipya zaidi ya ku brainwash vijana wa kitanzania kwa kuwapumbaza kwa kuwadangnya kuwa msanii fulani hafai na fulani anafaa kwa maslahi ya wenye radio .

Kiufupi ni inatoa burudani kwa watu wasio upeo wa kufikiri kwa kiwango kikubwa .

Mtoto wa Kishua,

You are right on the money, Clouds FM are the best when it comes entertainment and tabloid news but it is not a serious news organization, and anyone who consider this station to be a credible source of news then he/she ought to assess his/her mental status.

Truth be told, for so long, this Radio Station, has been on the forefront in brainwashing our youngsters. Consequently, vijana have become illusional and can't distinguish what they see on TV (entertainment) and real life, in other words facts from fiction. Although it is sad, but it also true that this station has done irreversible damage to Tanzania's young generation.
 
Wana JF;

Gadna sijui kama anajua hata JF ina exist.

FP

Mkuu katika zote nimeiipenda hii, ndio maana ni muhimu kuwa na shule za kata maana tutapata hata vyuo vya tarafa, watu kama akina Gadner wasiwe wanaenda Roben Island wakidhani ukifika huko umemaliza kila kitu. Kuna watu hawajatia timu huko lakini wanajua kila angle ya ile jela, Gadner jielimishe mwanangu, suala la Biashara za siraha ni suala kubwa mno kwa hawa vijana wazee wawili (Gadner na Kibonde). kwanza sio Vijana any more nadhani waache kutangaza sasa waachie vijana wenyewe. Wakati ule akina Amina wanatangaza they were real young,
 
Back
Top Bottom