Huntsman
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 633
- 577
Kuna Story aliletwa na mwana JF The bold kama sikosei kuhusu story ya muhalifu maarufu Marekani atakayetoka gerezani mwaka 2021 na kurecord Baadhi ya matukio kwenye Fulani. Sasa nashangaa kuiona leo imewekwa kwenye ukurasa wa Facebook wa Clouds FM kama ilivyo bila kutoa credit kwa JF.
Maoni yangu kama wamekopi humu basi watoe credit tu basi