Clouds FM wafungua kituo cha tv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Clouds FM wafungua kituo cha tv

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Dec 2, 2009.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,300
  Likes Received: 22,089
  Trophy Points: 280
  Kuanzia jana jioni clouds fm wamekuwa wakirusha hewani matangazo yao ya t.v.

  Kwa kuanzia wameanza kurusha vipindi vya muziki.

  Hongera sana clouds FM
   
 2. E

  Exaud Minja Member

  #2
  Dec 2, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15

  Wanapatikana vipi ni kwa kutumia dish au antenna za kawaida
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Embu tupe madikodiko ya frequency mkuu "big up clouds mmetoka mbal sana"
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Dec 2, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hatimae wapo hewani. Toka watangaze kuanza kurusha matangazo ni muda mrefu umepita, by the way hongereni sana.
  kwa walio na information, wanapatikana vipi kwa sisi tulio mikoani au kwa kuanzia ni Dar pekee!
   
 5. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Tusubiri na ze komedy nyingine humo...!
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  ONGERENI sana Clouds (Ruge and Kusaga), mmetoka mbali sana na hii kazi ya media,kwa wasiofahamu, hawa jamaa (RUGE na KUSAGA) ndio waanzilishi wa Radio1 na ITV ya bwana Mengi, hawa jamaa walikuja na ideas za kufungua Redio na TV na kumpelekea Bw Mengi ili awape tafu, na Mengi akatoa hela lakini baada ya kuona mwelekeo ni Mzuri ikabidi Bwana Mengi awapige chini na kuendelea yeye na ITV na Radio 1, huku Ruge na Kusaga ndio baadae wakaanzisha Clouds
   
 7. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,402
  Likes Received: 3,728
  Trophy Points: 280
  Matangazo yanaanza saa ngapi...?? au ni masaa 24..??
   
 8. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #8
  Dec 2, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0


  Wewe KITUKO acha vituko.... Mengi katoa hela akampa nani na afanyie nini??? fafanua la sivyo utawekwa kwenye kapu la wazushi na wavivu wa kujituma na kufikiria, unaishia kuwalaumu watu kwa uzembe wako?????
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nimeongea na mmoja wa wafanyakazi ni kuwa imeanza toka 1st Dec kama on test tranasmission kwa watu wa DSM though ata NEMBO haionekani.SI UNAJUA TENA TCRA na masharti yao.
  BIG UP AS ILO WAZO WALIKUWA NALO TOKA 2005
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  dah simpimii capitain na mzee wa Asalaam aleikhum duh BIG SANA WAKUBWA
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,300
  Likes Received: 22,089
  Trophy Points: 280
  ukifika home, we search kwa njia ya kawaida tu
   
Loading...