Nature abhor the vacuum. Asili haipendi ombwe. Hata industrial dominance ya UK ilipotea Kwa kujiamini kwao. Clouds walipokuwa peak walijisahau wakawa miungu watu. Walitengeneza maadui wengi hasa wasanii,enzi za kutishia kutopiga nyimbo za wasanii zimekwisha. Maendeleo ya technology yanawaumbua.