Clouds FM Radio: Jahazi kuweka hotuba ya Nassari live time hii!

Duh.. Ingawa naikubali CDM kama chama makini,ila huyu jamaa hapa "aliteleza"... Mfano:-
-kujiita "Rais",na Lema kama PM wake wa nchi ya Kaskazini...
-kutishia kufunga mpaka wa nchi hiyo ya "Kaskazini"
-kufananisha nchi yake ya "Kaskazini" na "Sudan Kusini" kwa kujitenga
-kutangaza kwa hadhira yake kuwa nchi hiyo ya "Kaskazini",wananchi wake wataishi kama Ulaya kwani rasilimali nyingi,kama Ml. Kilimanjaro,Madini,Ziwa,n.k.[/QUOTE

huyu mtoto kanichefua sana...Mimi ni CHADEMA dama lakini dogo anatakiwa ashtakiwe kwa uhaini.

Hapana mkuu.. Busara inahitajika.. Hata binti yako akikukosea adabu kwa kushika mimba akiwa mwanafunzi,kumfukuza nyumbani si suluhisho....
Anyway tuache DPP aamue...
 
hakuna kesi hapa neither side will be able to satisfy the court beyond reasonable doubt
in politics slogan can be construed to mean different things and so to dogo nassari.
ila for the sake of peace and tranquility ache kuongea ovyo

Na DPP naye hatatakiwa kuprove beyond any reasonable doubt that Nassari intended to do what he said, and that he has powers to do so or is capable of doing so? Whose responsibility is to prove that? Is it Nassari's responsibility or DPP's?
 
Mkuu, mtu anafanya uhaini halafu aendelee kuwa mbunge? Nafikiri adhabu yake ni kifungo cha maisha au kunyongwa kabisa. Tumsubiri DPP aisuke kesi vizuri.
Yaani hapo kwenye nyekundu ningependa iwehivyo halafu waanze na Kikwete, Rostam, Lowasa, Balali, Pesa mbili, Mkapa, Chenge.......
 
hakuna kesi hapa neither side will be able to satisfy the court beyond reasonable doubt
in politics slogan can be construed to mean different things and so to dogo nassari.
ila for the sake of peace and tranquility ache kuongea ovyo

You said it all man Lokissa !
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom