Clouds FM Radio: Jahazi kuweka hotuba ya Nassari live time hii!

Kaka unapotaka kujitenga ni mbaya zaidi ya tusi, huyo dogo awe makini kwenye statement zake.

Mi nimesummarise niliyoyasikia..

Naomba tu "vyama pinzani" na CDM visiifanye hiyo comment ya dk moja kuwa karata yao iliyobaki! Nachelea kiukweli..
 
Somo hilo kwa Nassary aache kuropoka ropoka. Amempa Nape singo ya kutoka nayo wiki hii na ukiona hadi WAGONJWA kama Kibonde wamepata kitu ya kuwapa FARAJA na UPENDO kama wagonjwa wengine ujue dogo kazi anayo. Nashauri CDM wawe wanam Mentor huyu dogo hadi akikomaa vya kutosha ndio asimame peke yake.

Ila meanwhile,waangalie pros and co.. Kwani si ni uungwana kuomba radhi?! Ama itawadiscredit zaidi...
 
mbona hawajawahi kuweka hotuba yoyote nzuri ya viongozi wa chadema??

this is a nasty propaganda kwakweli

Hii inatouch feelings za Watanzania waliotajwa Mikoa yao na hata wale ambao Mikoa yao haikutajwa na Mh. Nassari.. Na ni kitaifa zaidi kwani walipomtaka ajisalimishe kwa ajili ya ufafanuzi,ni baada ya comment zike..
 
Nawaamini CDM, ila kwa kweli dogo alikosea, huenda alikuwa amechukizwa na hali ya mambo ila ni vema kutumia busara sana kwenye kutoa statements hasa kwa kuwa CDM wanataka kuongoza nchi. Imenisikitisha kidogo.Mkuu AMARIDONG, kwamba Lusinde pia alifanya makosa hakufuti ukweli kwamba Nassari naye amekosea, haihalalishi.

You said it all..
Nachelea kusema kwamba,kuna watu pinzani na CDM kuitumia fall ya Lema kwa kauli zake,na hotuba ya kumalizia ya Nassari ambayo nayo sasa inamgharimu kuwa kete yao kisiasa..
 
Na DPP naye hatatakiwa kuprove beyond any reasonable doubt that Nassari intended to do what he said, and that he has powers to do so or is capable of doing so? Whose responsibility is to prove that? Is it Nassari's responsibility or DPP's?
 
I think they are still trying to find the grounds so as to press charges ... So it is up to the DPP to prove,those grounds as fundamental charges to the MP..
 
Kuna thread niliyoipandisha kuhusu hii ya Clouds Fm Radio kuhusu huyu mtangazaji zembe wa hii radio na siyo mwingine ni E. Kibonde.
Yani huyu sina hata budi kusema hata naye ni kati ya mafisadi wadogo anayelelewa na mapapa lakini huyu anafikiri tupo karne ya 42.

Mi nitashambuliana na huyu kwenye mitandao na labda na asije hapa JF na nikaijua ID yake.

Na nimewashangaa wakuu wa hapa ndani,Inivisble,PAW na hata Mods wameificha hiyo thread jukwaa gani na niliiweka jukwaa la siasa.

Hii ya E. Kibonde na jahazi la Clounds Fm Radio Mi simkubali hata chembe.
 
Namsikitikia Nasari sana, nashangaa wabunge wa CDM haawapati fundisho tu. Hii issue inakoelekea kwa vyovyote vile lazima aadhibiwe vibaya sana.

Utoto umemwangusha, maneno ya vijiwenni yamemcost. Arumeru tuanze mchakato wa kutafuta mbunge. Soon jimbo litakuwa wazi.
 
Hivi kosa hilo linaweza kufanya ubunge wake utenguliwe? Kama itakuwa hivyo nadhani Lusinde atakakuwa wa kwanza.
 
Hivi kosa hilo linaweza kufanya ubunge wake utenguliwe? Kama itakuwa hivyo nadhani Lusinde atakakuwa wa kwanza.
Mkuu, mtu anafanya uhaini halafu aendelee kuwa mbunge? Nafikiri adhabu yake ni kifungo cha maisha au kunyongwa kabisa. Tumsubiri DPP aisuke kesi vizuri.
 
Kuna thread niliyoipandisha kuhusu hii ya Clouds Fm Radio kuhusu huyu mtangazaji zembe wa hii radio na siyo mwingine ni E. Kibonde.
Yani huyu sina hata budi kusema hata naye ni kati ya mafisadi wadogo anayelelewa na mapapa lakini huyu anafikiri tupo karne ya 42.

Mi nitashambuliana na huyu kwenye mitandao na labda na asije hapa JF na nikaijua ID yake.

Na nimewashangaa wakuu wa hapa ndani,Inivisble,PAW na hata Mods wameificha hiyo thread jukwaa gani na niliiweka jukwaa la siasa.

Hii ya E. Kibonde na jahazi la Clounds Fm Radio Mi simkubali hata chembe.

Humu niliiweka thread hii kujadili "suala" la hotuba ya Nassari na maudhui yake yawe msingi wa mjadala...

Ulifanya vema kuandaa thread maalum ya "kumjadili Kibonde"... Nami niliipitia...
 
Namsikitikia Nasari sana, nashangaa wabunge wa CDM haawapati fundisho tu. Hii issue inakoelekea kwa vyovyote vile lazima aadhibiwe vibaya sana.

Utoto umemwangusha, maneno ya vijiwenni yamemcost. Arumeru tuanze mchakato wa kutafuta mbunge. Soon jimbo litakuwa wazi.

Unaposema "...soon jimbo litakuwa wazi.." waweza kufafanua mkuu Rejao
 
Last edited by a moderator:
Namsikitikia Nasari sana, nashangaa wabunge wa CDM haawapati fundisho tu. Hii issue inakoelekea kwa vyovyote vile lazima aadhibiwe vibaya sana.

Utoto umemwangusha, maneno ya vijiwenni yamemcost. Arumeru tuanze mchakato wa kutafuta mbunge. Soon jimbo litakuwa wazi.

akili zako ni kama avatar yako,inapendeza lakini
 
Nachoka kuisubiri hiyo clip sasa, niendelee kuwa mvumilivu tu?

'Hata mbuyu ulianza kama mchicha' why to compare two different species. Above all, the size of the nose does not determine the amount of liquid.
 
Duh.. Ingawa naikubali CDM kama chama makini,ila huyu jamaa hapa "aliteleza"... Mfano:-
-kujiita "Rais",na Lema kama PM wake wa nchi ya Kaskazini...
-kutishia kufunga mpaka wa nchi hiyo ya "Kaskazini"
-kufananisha nchi yake ya "Kaskazini" na "Sudan Kusini" kwa kujitenga
-kutangaza kwa hadhira yake kuwa nchi hiyo ya "Kaskazini",wananchi wake wataishi kama Ulaya kwani rasilimali nyingi,kama Ml. Kilimanjaro,Madini,Ziwa,n.k.[/QUOTE

huyu mtoto kanichefua sana...Mimi ni CHADEMA dama lakini dogo anatakiwa ashtakiwe kwa uhaini.
 
Back
Top Bottom