Clouds FM Radio: Jahazi kuweka hotuba ya Nassari live time hii!

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
Kwanza wanasoma utetezi wake kwa DPP... Ambaye hajaisikiliza japo kwa ufupi hotuba hiyo.. Itawekwa hewani hivi punde!
 
Alitaja kutaka kuita vijana kama yeye 500 kwenda Magogoni... Katika utetezi wake,akasema ni kwenda tu kumwona JK!
 
Anold Kayanda kaizimika Slogan ya vua gamba vaa gwanda; kama kuna mtu yupo jirani na Mikochen B karibu na studio yao hebu afanye amuwaishie card ya uanachama pale"
 
upeo wa kibonde mdogo sana,kwa nini asimtafute kitine aje hapo aseme mla hongo ya urais?ccm wanamtumia kamatoilet paper
 
Anold Kayanda kaizimika Slogan ya vua gamba vaa gwanda; kama kuna mtu yupo jirani na Mikochen B karibu na studio yao hebu afanye amuwaishie card ya uanachama pale"

Ha ha haaa... Mi nangoja clip ya hoyuba ya "kamanda" Nassari... Kuwekwa hewani hivi punde..
 
upeo wa kibonde mdogo sana,kwa nini asimtafute kitine aje hapo aseme mla hongo ya urais?ccm wanamtumia kamatoilet paper

Ngoja atusikilizishe clip kwanza na tusikie maoni maana wamemwalika na mwanasheria pia..
 
Asante kwa taarifa mkuu, umechangia kuniwezesha kuitegea sikio.

Yeah.. Tutapata fikra tofauti na mjadala utatusaidia kupanua uelewa wa suala lenyewe,na hasa tukishasikia hotuba yenyewe,au hiyo clip ya maneno yanayomsababishia matatizo Mh. Nassari kwa sasa..
 
Nachoka kuisubiri hiyo clip sasa, niendelee kuwa mvumilivu tu?

Sio siri ... Jamaa wana matangazo mengi sana... Ila kuwa mvumilivu.. Si wajua umuhimu wa jambo kama hili bila kulisikia mwenyewe,hata kuchangia mada yake,unakuwa mwoga..!
 
habari nzuri ila huyo anayetumika kama toilet paper ningependa kuona hata picha yake lolz
 
Duh! Hayo maneno makubwa. Ngoja kwanza nitafakari implication yake, uzito na consequences ndipo nitarudi kutoa maoni!
 
Imesharushwa sasa hivi ila du dogo alikuwa na jazba aisee duu statement zake ni hatari lakini .......sijui itakuwaje!!alipoomba dak 1 ziada ndipo alipolipuka na kuharibu
 
Back
Top Bottom