chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 19,679
- 22,685
Napata sintofahamu kubwa kuhusiana na namna wanavyohabarisha Jamii hasa katika masuala ya Kisiasa kupitia kipindi chao cha asubuhi cha kuperuzi na kudadisi magazetini,
Wanajadili Siasa kwa bias kubwa sana huku wakivisema vyama vya Upinzani hasa juu ya huu muungano wa UKAWA!
Inasikitisha sana maana hawana elimu yoyote ya siasa ila kuropoka tu maneno yasiyokuwa na tija.
Kwa mwendo huu Clouds Media napata hofu kwamba mnatumiwa na CCM kuangamiza na kuusemea vibaya Upinzani.
TCRA pitieni tena agreement za hii media kwamba inatakiwa kufanya nini,.