Clouds FM Ni Political Media Au Entertainment Media?

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
18,754
2,000
Napata sintofahamu kubwa kuhusiana na namna wanavyohabarisha Jamii hasa katika masuala ya Kisiasa kupitia kipindi chao cha asubuhi cha kuperuzi na kudadisi magazetini,

Wanajadili Siasa kwa bias kubwa sana huku wakivisema vyama vya Upinzani hasa juu ya huu muungano wa UKAWA!

Inasikitisha sana maana hawana elimu yoyote ya siasa ila kuropoka tu maneno yasiyokuwa na tija.

Kwa mwendo huu Clouds Media napata hofu kwamba mnatumiwa na CCM kuangamiza na kuusemea vibaya Upinzani.

TCRA pitieni tena agreement za hii media kwamba inatakiwa kufanya nini,.
 
kababu

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,593
2,000
kama imeekuuzi na una lakufanya meza wembe ili hasira ipungue,
 
Kassim Awadh

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
884
195
Hiyo radio station inahuzunisha sana, alianza Kibonde kujipendekeza ccm kwa kuponda wapinzani kupitia kipindi chake cha jahazi hata katika hoja wanazosimamia za msingi tu, ajabu sasa imehamia kwa watangazaji wa power breakfast kupitia peruzi na kudadisi. its so disgusting bana!!
 
La Princesa

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
1,002
2,000
Clouds ni free media,iko huru ina uwezo Wa kuchagua nini kiende hewani na nini kisiende,ukiwa bored, change station, zipo nyingi za kusikiza mkuu
 
RealMan

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,367
1,250
Dawa ndogo sana
Wapelekeeni deal ya matangazo inayopigia promo CDM, CUF au NCCR tuone kama wataikataa...

From there watawasifia hata kwenye kipindi cha taarabu....kazi kwenu watu wa publicity
 
Centrehalf

JF-Expert Member
Jun 9, 2013
509
0
Napata sintofahamu kubwa kuhusiana na namna wanavyohabarisha Jamii hasa katika masuala ya Kisiasa kupitia kipindi chao cha asubuhi cha kuperuzi na kudadisi magazetini,

Wanajadili Siasa kwa bias kubwa sana huku wakivisema vyama vya Upinzani hasa juu ya huu muungano wa UKAWA!

Inasikitisha sana maana hawana elimu yoyote ya siasa ila kuropoka tu maneno yasiyokuwa na tija.

Kwa mwendo huu Clouds Media napata hofu kwamba mnatumiwa na CCM kuangamiza na kuusemea vibaya Upinzani.

TCRA pitieni tena agreement za hii media kwamba inatakiwa kufanya nini,.

achana na redio ya wauza unga hiyo,kwa ushauri wako sikiliza radio 1 stereo,capital radio,east africa radio na radi free africa kwa mbali upate habari za uhakika.
 
cnjona

JF-Expert Member
Mar 24, 2014
1,021
1,250
Me sijawahi kuona kipindi cha kunishawishi kuangalia kwenye hii chanel
 
Ikengya

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
615
225
Leo ni asubuhi wameniuzi sana mpaka nika zima redio. Inaonekana baada ya CCm kushindwa kuifanya uhuru isikike nchi nzima sasa Clouds wanafanya kazi hiyo ambaya uhuru wangeifanya.
Me sijawahi kuona kipindi cha kunishawishi kuangalia kwenye hii chanel
 
MoudyBoka

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
909
1,000
Clouds wana mahusiano ya kimchepuko na CCM na pia mkumbuke baada ya radio Uhuru ya CCM kufeli wamewekeza kwa clouds kwa kampeni za indirect kwa kuwalenga rika la vijana kwa ajili ya 2015 na kadri mda unavyoenda itadhihirika tu clouds ni kama radio ya CCM na vibaraka vya CCM,utaona Mara Zitto,Makamba,Membe,Amos Makala etc ndio wanapewa airtime na kwenye mambo ya uchambuzi wa siasa watangazaji hawatendi dhahiri bali kupotosha!!
 
kajirita

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
1,575
1,225
List za vituo ambavyo huwa sivisikilizi kabisa!

-Uhuru
-Clouds
-TBC

Mwanzoni nilikuwa nssikiliza sana lkn baada ya kuwa biased na kuwa vyombo vya kuwalamba mat....ko watu Fulani nikavidelete kabisa kwenye ki-sumbuzi changu!

Star TV,mpango mzima!!
 
Beso

JF-Expert Member
May 6, 2011
216
195
KIPINDI CHAO ASUBUHI KWENYE LUNINGA 360 NYIE WATANGAZAJI, KAMA HAMNA UELEWA WA JAMBO BORA MU "INVITE GUESTS" AMBAO WATALISEMEA JAMBO FULANI MNALO JADILI KULIKO KUROPOKAROPOKA TU HAPO STUDIO!!!IGENI HATA STAR TV.
Mwanzoni nilikuwa nssikiliza sana lkn baada ya kuwa biased na kuwa vyombo vya kuwalamba mat....ko watu Fulani nikavidelete kabisa kwenye ki-sumbuzi changu!

Star TV,mpango mzima!![/QUOTE]
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
49,920
2,000
clouds wanabebwa na serikali tena tangu haingieeee hyu mkulu anayemaliza muda wake....ndy kawabebaaa sanaaaaaa mpakaaa wanamuandaliaaa bday na anatiaaa timu...hawa clouds washashindikanaaaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom