RasJah
JF-Expert Member
- Nov 5, 2009
- 703
- 64
Jamani wana jamii naomba kuwasilisha tena kwamba hapa kwetu mbeya city hakuna matangazo ya clouds fm na radio one kwa muda sana sasa , na hakuna sababu yoyote ile mpaka leo na unajua inasumbua akili mkoa una maendeleo kuna radio za kijinga tu hapa mjini wanaiga idea za watangazaji wengine sasa tumechoka jamani tz yetu wote wazee kama watu wa clouds na radio one mpo uhu tusaidiane jamani