Clouds FM na kipindi chao cha matusi usiku.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,721
155,374
Jana nilichelewa kidogo kulala, nilikuwa nikisoma novel huku nikisikiliza clouds fm.
Mida ya saa sita kipindi kilianza , mwanamke na mwanaume walikuwa wanaongea NGONO hadharani.
Watu walikuwa wakipiga simu na kutuma msg kuchangia.
Walikuwa wakiongelea namna ya kusugua mayai na soseji kwa mswaki, kuweka vimawe kwenye mbunye ili kuongeza utamu wa tukio.
Jamani, hivi kuongea hayo maneno mazito hadharani sio kukiuka masharti ya tume ya utangazaji na mawasiliano/
 
labda utushirikishe kidogo kabla hatujachangia mengi ,tuambie masharti yatume ya utangazaji na mawasiliano yanasemaje kuhusu jambo hilo?
 
si usiku wanajua watoto weshalala:A S-alert1:
Ila kimaadili siyo nzuri
Kwani nani ni mgeni na CLOUDS FM
Full WAHUNI
 
Uzuri now days TCRA wanarecodi kila kipindi 24hrs 7 days.Matusi ayatakiwi ata kwa dakika Moja ata kama ni usiku wa manane.so waweza wakilisha malalamiko TCRA ili waadabishwe
 
Watoto ni watundu sana, wakishtukia kitu kama hiki watakuwa wakikesha ili wasikilize hayo mambo ya wakubwa

Kwa bahati mbaya sio clouds peka yao...:redfaces:
Siku hizi watoto wanamiliki simu....na simu zina redio....basi wanajifanya wamelala kumbe wamevaa earphones....hatari kwelikweli...
 
si usiku wanajua watoto weshalala:A S-alert1:
Ila kimaadili siyo nzuri
Kwani nani ni mgeni na CLOUDS FM
Full WAHUNI

mambo mengine jamani tunawaonea, kama ni hivyo cable providers wasingeruhusiwa, kama unatumia cable fungua channels especially channel"e" kuanzia saa sita ucku, au hawa watu wa cable wako inje ya mikono ya tume ya mawasiliano , halafu kipindi kama hicho c cha kwanza mbona kulikuwa na kipindi cha chakula cha usiku na mtangazaji wake alichukuwa tuzo ya kipindi bora na maudhui ni yale yale, mimi nimgeshangaa kama kingerushwa saa mbili usiku na sivinginevyo
 
Haya bana yetu masikio:A S-alert1:
 
Kwa bahati mbaya sio clouds peka yao...:redfaces:
Siku hizi watoto wanamiliki simu....na simu zina redio....basi wanajifanya wamelala kumbe wamevaa earphones....hatari kwelikweli...

Ni kweli watoto wanaharibika na simu/mitandao iko very open kwao kusikiliza, dawa ni TCRA kuwazuia kwani ni upotoshaji
 
Ulitegemea nini serious kutoka Cloud tofauti na burudani? Na ngono talk ni kati ya burudani wanayoipenda na wanajua watapata wasikilizaji wengi? Kwani TCRA mpaka walalamikiwe ndo wachukue hatua? so they are reactive and non-proactive!
 
Jana nilichelewa kidogo kulala, nilikuwa nikisoma novel huku nikisikiliza clouds fm.
Mida ya saa sita kipindi kilianza , mwanamke na mwanaume walikuwa wanaongea NGONO hadharani.
Watu walikuwa wakipiga simu na kutuma msg kuchangia.
Walikuwa wakiongelea namna ya kusugua mayai na soseji kwa mswaki, kuweka vimawe kwenye mbunye ili kuongeza utamu wa tukio.
Jamani, hivi kuongea hayo maneno mazito hadharani sio kukiuka masharti ya tume ya utangazaji na mawasiliano/

Hili swala tulishaliongelea sana hapa JF na utafiti wangu unaonyesha Tume ya Mawasiliano haina tatizo nao kabisa.. infact wanasema hiyo adult content inaruhusiwa muda huo na kuna watu wanataka hata ianze mapema zaidi.MAKUBWA HAYA.. NDIO HATUNA JINSI?!
 
labda utushirikishe kidogo kabla hatujachangia mengi ,tuambie masharti yatume ya utangazaji na mawasiliano yanasemaje kuhusu jambo hilo?

unalo jambo wewe si hivihiv!akushirikishe matusi@@haya mwenyewe!!!!!!!!!
mi nafikiri dawa ni kutosikiliza ama kufungua cluods FM..nimeona malalamko mengi lakini mwisho wa siku wale jamaa ndio kwanza wanazidisha na akuna cha ziada kama malalamiko uko tumeni yako zaidi ya mia wanaangaliana kifupi hivi ukiangalia movie ukakuta ngono inaingia kti je utazima ama utaendelea kuangalia??tusaidie kabla atujakusaidia yawezekana una hamu nayo lakini tu uipendi clouds na uchafuzi wao binafsi na i hetchi kinoma sema basi tu ila mwisho nkajiona ovyo maana wengi ukifwatilia shule zao ni sallllllllllllllllaaaaaaaaaaaaaaleeeeeeeeeeeeeeeeeiii so si kosa lao...ila endelea kuwapa vijembe
 
Back
Top Bottom