Clouds Fm Mnaboa, kipindi cha XXL leo kwani kimekodiwa na WCB?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,267
2,519
Toka mwanzo wa kipindi mpaka sasa ni habari na miziki ya wasanii kutoka WCB tu, sisi wapenda burudani hasa tunaopenda wasanii mbalimbali mnatuboa sana kama si kutukera kunakotukuka. Hivi WCB wamekodi kipindi cha leo au? Badilikeni
 
Back
Top Bottom