Clouds FM, Millard Ayo na Diva wamemaliza ugomvi na Diamond Platnumz?

davejillaonecka

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
650
650
Hawa ndugu zangu wameanza kuja kwa kasi sana kum - support Diamond Platnumz haswaaa. Deal aliyoi-sign na Warner inazidi kuwafumbua watu.

Swali ni: Je, kuna nini kinaendelea au ndo mabifu yamesha sitishwa?

Naomba mwenye uelewa na hili jambo anieleweshe.
 
Millard Ayo baada ya Ruge kufariki amegundua Kusaga ambaye ni boss wake ndiye mmiliki pia Wasafi media, hata frequency ya 88.5 DSM ilikuwa ya Kusaga.

Diva kwasasa hana kazi na kutokana na hali ngumu ya maisha ameanza kujipendekeza kwa Diamond labda atapata kazi.
 
Hapa issue ni MOJA.

.............Usiwe Msukule. Usijichomeke kwenye beef ambalo halikuhusu.

Siku wenyewe wakielewana wewe utabaki hujielewi kama Mwehu.

Kulinda ugali ndiyo sababu kuu, yani mara nyingi mtu anaingia kwenye bifu lisilokua lake ili kulinda tumbo lake, unakuta mtu anaingia kwenye bifu ambalo halipo kumhusu ila anaingia na kuchukua sides ili kulinda ugali ndiyo ukweli ulivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Millard Ayo baada ya Ruge kufariki amegundua Kusaga ambaye ni boss wake ndiye mmiliki pia Wasafi media, hata frequency ya 88.5 DSM ilikuwa ya Kusaga.

Diva kwasasa hana kazi na kutokana na hali ngumu ya maisha ameanza kujipendekeza kwa Diamond labda atapata kazi.

Wasafi FM ofisi set up na design ni kazi ya mafundi kutoka Clouds FM, kwa DSM Wasafi FM wanatumia mnara wa Clouds (on rent).
 
In short Diamond ni face tu na CEO wa kampuni ila kwenye vitabu vya mahesabu kuna watu wako makini.

Ukitaka kuja kulijua hilo, Wasafi media ikiyumba tu. Wahusika lazima wataajiri CEO mpya.

Kusaga kwenye media industry amekuwa mjanja mjanja sana. Amenunua frequency nyingi muhimu amekaa nazo tu.

Kwenye hili suala sijui FCC wako wapi?
 
Kusaga yuko njema mzee, ukiangalia Branding ya Wasafi FM, unaona kabisa inakuja kuwa tishio, ni kama anataka kupambanisha Clouds vs Wasafi.

EFM na wenzake wanakuja kuwa wasindikizaji, na Clouds kuna vichwa vya kazi balaa.
 
In short Diamond ni face tu na CEO wa kampuni ila kwenye vitabu vya mahesabu kuna watu wako makini.

Ukitaka kuja kulijua hilo, Wasafi media ikiyumba tu. Wahusika lazima wataajiri CEO mpya.

Kusaga kwenye media industry amekuwa mjanja mjanja sana. Amenunua frequency nyingi muhimu amekaa nazo tu.

Kwenye hili suala sijui FCC wako wapi?
Sasa unaposema wahusika wataajiri CEO mpya...ina maana Diamond yeye si muhusika? Ijapokuwa hana majority shareholding...ila kwa mujibu wa Brela ana stake ya 43% ya Wasafi media.

Yeye si tu kuwa ni face tu...he is one of the owners. Plus you should know the power of WCB brand...Wasafi media imepata huge growth because of diamond and his WCB brand.
 
Mkuu mtu mwenye majority shares ndio final. Hata kama kampuni umeianzisha wewe.

Sheria ya makampuni iko hivyo.
 
Back
Top Bottom