Clouds FM kufungiwa?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,270
675
Kuna habari kuwa Clouds fm inaweza kufungiwa au wafanyakazi wake kufungiwa kutangaza Radioni maana wananchi wametoa malalamiko yao kwa TCRA kuwa watangazaji wake wanaporomosha matusi na kuzalilisha watu kwa maneno ya binafsi wakiwa wanatangaza

TCRA watakuwa wanawaonea?

Source: Majira
 
Ili ku-judge kama ni uonevu au sio basi tuweke basi hata matusi mawili au matatu lakini yasiwe kama yale CCM walidai kutukanwa wakati wa kampeni wakati ni ukweli na sio matusi!
 
watakua hawajawaonea,wamezidi kuingilia hasa mambo ya siasa,tena kwa kuegemea chama fulani,kwani ni nani asiyewafahamu kazi yao kusifia tu viongoz wa ccm,kwa nini wasitafute mada za msingi za kuongelea mpaka wazungumzie watu binafsi,au wanahongwa ili kufanya hivyo.nadhani TCRA ikemee tabia hizi kwa sababu ni kero kubwa kwa jamii.
 
haifai kuwa redio ya kusikiliza bali inatakiwa iwe kijarida cha kitchen part tu................akina kibonde wanaharibu sana redio na mimi niliishaacha kusikiliza tangu niliipoona kuwa wamenunuliwa na mafisadi na ccm wakati wa uchaguzi............wamefulia........
CLOUDS HAWANA VIPINDI VYA KUELEIMISHA NA WALA HAWANA UWEZO WA KUELIMISHA....REDIO YAO IFUNGIWE KWANI HAPO BAADAE WANAWEZA KUWA WACHOCHEZI HASA MTU KM KIBONDE...........NOT WANTED IN MEDIA AENDE AKAGANGE NJAA CCM
 
AS FOR ME,
clouds entertainment ni moja kati ya my most favourite medias to watch and listen!....

ninyi wengine na vijiba vyenu vya roho mtakufa navyo
 
Upo kwa niaba ya kibonde...........wenzako walipata mgawo wa epa za ccm na mafisadi nawewe ulipata....km hukupata sijui ujasiri wa kusema haya unautoa wapi?.........au wewe ni mmoja wa wale akina ndiyo mzee?...tehe....tehe....tehe......nchi itasonga kidogo iwapo tu waut km nyie mtakuwa hampo
as for me,
clouds entertainment ni moja kati ya my most favourite medias to watch and listen!....

Ninyi wengine na vijiba vyenu vya roho mtakufa navyo
 
What difference does it make? With or Without Clouds FM?

mkuu tafadhali bana rudisha ile avatar yako..nikiona ile avatar yako ya baiskeli nakumbuka mama gaude wangu kule amsterdam na baiskeli yake
 
Kwa kusema ukweli clouds ni watu wa ajabu sana na nadhani wanawatumikia mafisadi(sisiem)
 
AS FOR ME,
clouds entertainment ni moja kati ya my most favourite medias to watch and listen!....

ninyi wengine na vijiba vyenu vya roho mtakufa navyo


Pole sana mzee wa Jahazi naona ajira yako iko matatani
 
Mimi sioni tatizo la hii radio kutoa Kibonde wengine swafi,mi ninacho wasifu ni wabunifu na wanaenda na wakati,sasa anayesema wanamatusi basi wayaweke hapa tuyasome,
 
Guys hawa jamaa ni Entertainment media house, what they do is Entertainment so tuwaache waburudishe, ukionwa unakwazwa waweza badilisha redio station tu ziko nyingi Redio Tumain, Wapo, Praise Power, Redio uhuru, Morning Star, TBC 1 nk
 
AS FOR ME,
clouds entertainment ni moja kati ya my most favourite medias to watch and listen!....

ninyi wengine na vijiba vyenu vya roho mtakufa navyo

Bara-bara kabisa chuki binafsi viva Clouds FM, angekuwa Mzungu mwekezaji basi kila mtu angewalamba miguu Mzawa mnataka kumuangusha acheni hayo!:angry:
 
Mimi sioni tatizo la hii radio kutoa Kibonde wengine swafi,mi ninacho wasifu ni wabunifu na wanaenda na wakati,sasa anayesema wanamatusi basi wayaweke hapa tuyasome,
Hujabisha hodi mkuu.......kuna chumba cha wageni kabla ya kuja huku!!
 
Kweli Mti wenye matunda mazuri ndio hurushiwa mawe....pamoja na lawama zoooote ,cha kushangaza kila sehemu ya public ni Clouds FM inasikilizwa...Mhm ila kweli watu kama akina kibonde ndio wanaharibu ile ladha ya zamani ...anaboa sana siku hizi!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom