Clouds Fm imefikia hatua ya kutembea na magari barabarani kutangaza Fiesta?

UrbanGentleman

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
2,585
1,883
Waungwana mko salama? Aisee siamini nilichoshuhudia yani ni media yetu hii hii au kuna lengine limewakumba?

CLOUDS FM imefikia hatua inatembea na magari mabarabarani kutangaza Fiesta?? Kweli? This means what ? Kuwa imepoteza covarage mjini??

Clouds waliokua wakitangaza pale studio mikocheni kuhusu tamasha lao la fiesta leo wamekua kama new product in town?

Nafikiri kuna kitu sio kawaida hawajamaa wanashida mahala
 
Ndio maana tunasema kuwepo vitu vingi ili kuwe na ushindani.. hawa wameshafunikwa, walikuwa wanamuita mvamizi sahizi wameanza kujikomba, wamesikia wenzio wamechukua wasanii wakongwe kama kina KONKI NA DULLY SYKS, Na wao wameanza kuokoteza watu waliowatupa zamani na kutopiga nyimbo zao kama kina BWANA MISOSI... WCB OYEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Ushindani mkubwa sababu master mind anaumwa clouds imekuwa ndogo duuuu kwl kila lenye mwanzo radio yao nayo imekuwa radio ya matangazo
 
Toka mwezi ta tano hadi leo ni karibu miezi 6 bila mkurugenzi wa vipindi. Waazime toka radio nyingine kwa muda kama part time job, Ruge akirudi akute salama.
 
Na CCM ikipata mpinzani imara tutaona maendeleo tu.
Sasa hivi wanajiona miungu watu kama clouds kipindi ch nyuma
 
Ndio maana tunasema kuwepo vitu vingi ili kuwe na ushindani.. hawa wameshafunikwa, walikuwa wanamuita mvamizi sahizi wameanza kujikomba, wamesikia wenzio wamechukua wasanii wakongwe kama kina KONKI NA DULLY SYKS, Na wao wameanza kuokoteza watu waliowatupa zamani na kutopiga nyimbo zao kama kina BWANA MISOSI... WCB OYEEEEEEEEEEEEEEEEE
BWANA MISOSI?
 
Waungwana mko salama? Aisee siamini nilichoshuhudia yani ni media yetu hii hii au kuna lengine limewakumba?

CLOUDS FM imefikia hatua inatembea na magari mabarabarani kutangaza Fiesta?? Kweli? This means what ? Kuwa imepoteza covarage mjini??

Clouds waliokua wakitangaza pale studio mikocheni kuhusu tamasha lao la fiesta leo wamekua kama new product in town?

Nafikiri kuna kitu sio kawaida hawajamaa wanashida mahala
Umekuja lini mjini??? PA zipo miaka yote.
 
Back
Top Bottom