Clouds FM haisikiki Mbeya city ni mwezi wa 3 nasikia wamefunga sababu ya mbunge wa Mb town

<br />
<br />
Can you tell this forum what benefit you get from your fying colours. Au ndo unabaki kujisifia bar unamuona yule nilikuwa nampita darasani hakuwa na akili kama mimi
Umenigusa sana jamani, yeye anabaki kujisisfia huyo anayemwita kilaza anachakarika kutafuta maendeleo.......
 
Siku zote siasa ndio zinazotuletea shida kila kukicha..hata leo hatuna umeme ni siasa tu! Kama hii issue ni ya kweli basi clouds watakua wamechemka sana huwezi zima community redio eti kwa sababu ya mtu mmoja! Yani wakikosana na wasani nyimbo zao wasipige..wakikosana na mwanasiasa wanafunga redio kwao! Mwe..
 
JAmani naomba mnijuze , hivi kuna tatiizo gani kati ya Mr sugu na clouds.. me mgeni hata sielewi ,
 
Clouds hata isposikika nchi nzima poa tu, labda ile ya awali,hii ya sasa ni kibaraka mpiga debe wa ccm tu so mna nafuu kama tayari haisikiki.haina dili
 
Ruge tatzo'sugu mwanasiasa ww mjasiriamali"sugu anapata zaidi ya million60 kwa kukaa na kuongea tu'kazana kaka don't give a dame kuhuSu sugu.
 
clouds ni watu wa kujipendekeza ndo tabu ya kuwa na redio zilizoanzia kwenye DISCO VUMBI wana malingo kama vitu gani sijui. Haina haja ya kuwajadili hawa wapambe wa mafisadi
 
Back
Top Bottom