Ng'wanambula
Senior Member
- Oct 2, 2011
- 197
- 53
Kuna tatizo gani wadau maana naona Clouds fm Radio hapa Shinyanga haipatikani hewani kwa zaidi ya wiki sasa. KpKama kuna tatizo, litaisha lini?Uongozi una taarifa hizo? Au ndio imeanza kufilisika baada ya kuondokewa na watangazaji wake mahiri kama akina GERALD HANDO, PAUL JAMES na MILLARD AYO ambao inasemekana walikuwa wanatumia ubunifu binafsi kuiwezesha Radio hiyo kufanya vizuri.