Clouds fm haijatajwa msiba wa Albert Mangwea

666 chata

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,688
3,816
kama ulikuepo kwenye viwanja vya leaders au ulikua ukiona kupitia eatv, kuanzia kwa adam juma mpaka kwa msemaji wa familia walitaja redio na stations mbali mbali wakizishukuru, lakina cha ajabu hawakuitaja clouds fm kwa kusaidia kuripoti habari za msiba wa ngwea kutoka moja kwa moja johanesburg na kuhusisha vipindi vyake karibia vyote na habari za ngwea! My take#p.funk majani ni kweli alisema ukweli na inaonekana hata familia ya ngwea ilichukia kuhusu clouds fm na madai yaliyo tolewa na majani, na ndio maana hata msemaji wa familia akuishukuru clouds fm.
 
Aise. Ndo maana wameachana na habari za ngwea..
Pole sana millard.. Poleni klauzi. Jirekebisheni!
 
ndio maana hawajaonyesha mazishi yake

maana niwajuavyo kllauz hili lilikuwa si la kuwapita
 
Sio lazima watajwe bhana.....washazoe kuoshwa katika matukio km hayo eeeeh.Vikitajwa vichache na baadae kusema na vyombo vyote vya habar vilivyoshir bac na wao pia wamo.
 
Wangetajwa mngelia....sasa mwadai hawajatajwa ishakuwa nongwa! Mnashangaza sana kwa kweli. Yaani ni kama vile ulikuwa unatega masikio kusikia neno clouds.
 
Aise. Ndo maana wameachana na habari za ngwea..
Pole sana millard.. Poleni klauzi. Jirekebisheni!

Wameachana na habari za Ngwea kivipi wakati sasa hivi wanapiga nyimbo za kumuenzi? Ujuha mwingine mbaya sana...
 
kama ulikuepo kwenye viwanja vya leaders au ulikua ukiona kupitia eatv, kuanzia kwa adam juma mpaka kwa msemaji wa familia walitaja redio na stations mbali mbali wakizishukuru, lakina cha ajabu hawakuitaja clouds fm kwa kusaidia kuripoti habari za msiba wa ngwea kutoka moja kwa moja johanesburg na kuhusisha vipindi vyake karibia vyote na habari za ngwea! My take#p.funk majani ni kweli alisema ukweli na inaonekana hata familia ya ngwea ilichukia kuhusu clouds fm na madai yaliyo tolewa na majani, na ndio maana hata msemaji wa familia akuishukuru clouds fm.

wewe sio mkweli......adam na wazungumzaji wengine wametaja CLOUDS MEDIA GROUP.......clouds fm imo humo clouds media group......
 
Wameitaja tena ndio ya kwanza wameishukuru kwa kufanikisha kuusafirisha mwili

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wewe sio mkweli......adam na wazungumzaji wengine wametaja CLOUDS MEDIA GROUP.......clouds fm imo humo clouds media group......

wewe bado haujawa serius na maskio yako, yule msemaji wa familia ya mangwea hakuna mahala alipoitaja hata io clouds media, achilia mbali kuvitaja vituo vingine vya radio,
 
jamani tupunguze chuki clouds ndio waliosafirisha mwili na ndio waliofunga steji na sound mbona kwa hili hamuwapi sifa yao
 
mbona washereheshaji hawakua wao kama kweli wao ndio waliofunga steji?
 
Back
Top Bottom