Clouds Fm acheni kuvulunda nyimbo za watu

sdk allie

Member
Nov 1, 2010
21
15
Nikawaida media mbali mbali kutumia nyimbo za wasanii wa ndani zilizoheat kwnye matangazo ya biashara ila hii iliyo mezani leo ni ya wimbo wa "KULIKO JANA" wa SAUTI SOL kutoka kenya,Nilikua nikiupenda huu wimbo,not until hawa jamaa wa CLOUDS FM walivyoutengenezea Tangazo sijui la shukurani..wameuvulunda completely kibaya zaidi wanavyozidi kulicheza hilo tangazo kuliko wimbo husika imepelekea adi wimbo wenyewe kuchukiza..sasa hivi sivipendi vyote! Tangazo na wimbo wa KULIKO JANA..
Hii ni mbaya kibiashara kwa wasanii japo inawanufaisha zaidi hao CloudsFm..
HITIMISHO; Tumieni nyimbo za wasanii wenu wa THT zile zinafanana sana na matangazo yenu..ikitokea ulazima kutumia wasanii wanje basi washilikisheni kwny utunzi na uwasilishi..
nihayo tu..
 
Unaongea Usilolijua unajuaje kama hawajaelewana na Sauti Sol ili wafanye hivyo
 
Nikawaida media mbali mbali kutumia nyimbo za wasanii wa ndani zilizoheat kwnye matangazo ya biashara ila hii iliyo mezani leo ni ya wimbo wa "KULIKO JANA" wa SAUTI SOL kutoka kenya,Nilikua nikiupenda huu wimbo,not until hawa jamaa wa CLOUDS FM walivyoutengenezea Tangazo sijui la shukurani..wameuvulunda completely kibaya zaidi wanavyozidi kulicheza hilo tangazo kuliko wimbo husika imepelekea adi wimbo wenyewe kuchukiza..sasa hivi sivipendi vyote! Tangazo na wimbo wa KULIKO JANA..
Hii ni mbaya kibiashara kwa wasanii japo inawanufaisha zaidi hao CloudsFm..
HITIMISHO; Tumieni nyimbo za wasanii wenu wa THT zile zinafanana sana na matangazo yenu..ikitokea ulazima kutumia wasanii wanje basi washilikisheni kwny utunzi na uwasilishi..
nihayo tu..
Mtoa mada kanywe maji kwanza ili ulifresh mwili wako na Ujue unachokisema..!
 
Hata mm silipendi lile tangazo,ila bado naupenda kuliko Jana ya sauti sol
 
mimi sio huo uwimbo wala tangzo lenyewe havijawahi kunigusa, kwanza ule uwimbo ukianza tu nazima redio
 
Back
Top Bottom